Watu wengi wakisikia watumishi wanalalamika kuhusu madaraja na kupandishiwa mishahara wanachukia sana kwa kuamini watumishi asilimia kubwa ni watu wasomi hivyo yeye la saba hawezi kuwa mtumishi wa umma hata mei mosi ya mwaka huu kuna upande umefurahi sana kwamba watumishi hawajaongezewa mishahara, jambo la msingi ridhika na ulipo na elimu yako chapa kazi za kukupa ridhiki kutokana na nguvu zako pia ukiona mtu ana degree hata usiumie maana naye kaisotea huko chuo kikuu kweli kweli huwa hazipatikani kirahisa lecturers wanahenyesha wanafunzi sio mchezo, naona hata waheshimiwa pale mjengoni akina ngosha na mwenzake hata walikuwa hawajui wanaongea nini.