Kwanini wasomi ndio wanaoongoza kwa kujinyonga duniani? Check the list list below.

Kwanini wasomi ndio wanaoongoza kwa kujinyonga duniani? Check the list list below.

CHAMVIGA

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
7,687
Reaction score
2,240
Wasomi duniani wanajitahidi sana kutumia elimu zao katika kutatua shida mbalilmbali jamii inazokutana nazo ikiwa ni pamoja na kuwapa ushauri. Wonderful enough they fail to use their education for solving their own mind problems/confussion.
WHY?
Hapa chini nimeweka list ndogo tu ya great philosophers/psychologists ambao wamejiua wenyewe nikiwa nafahamu fika hawa ni madaktari wazuri au maneno yao mazuri huwa yanatumiwa sana katika kuwapa moyo waliopoteza matumaini na kiukweli yanatia moyo.

399 BCE Socrates, condemned to death for corrupting the young, drank hemlock amongst his friends as described in Plato’s Phaedo.
338 BCE According to legend, Isocrates starved himself to death.
314 BCE Xenocrates died when he hit his head after tripping over a bronze pot.
52 BCE Lucretius is alleged to have killed himself after being driven mad by taking a love potion.
65 CE Seneca was forced to commit suicide after falling out with Emperor Nero.
1901 Paul Rée fell to his death from a mountain.
1903 Otto Weininger committed suicide by shooting himself.
1906 Ludwig Boltzmann hanged himself.
1911 Paul Lafargue died with his wife, Laura Marx, in a suicide pact.
1939 Stanisław Ignacy Witkiewicz committed suicide by taking an overdose of Veronal and trying to slit his wrists a day after the Soviet invasion of Poland; it was planned to be a joint suicide with a close friend of his but she survived the attempt.
1940 Walter Benjamin committed suicide at the Spanish-French border, after attempting to flee from the Nazis.
1943 Simone Weil starved herself to death.
1994 Sarah Kofman committed suicide on Nietzsche’s birthday.
1994 Guy Debord committed suicide by shooting himself after a painful struggle with polyneuritis.
1995 Gilles Deleuze committed suicide by jumping out of his fourth-story apartment window.
1998 Dimitris Liantinis committed suicide on the mountains of Taygetos.
2007 André Gorz committed joint suicide with his wife by lethal injection.

KARIBUNI TUPEANA ELIMU.
 
wanasoikologia na wanafalsafa na wale msiomini uwepo wa Mungu akina Kiranga tuambiane tatizo linalowafanya wenye tabia za udadisi mno kama nilivyoorodhesha wachache hapo juu?.
 
Last edited by a moderator:
binafsi nasikia kwako hii nyuzi, japo nadhani wasomi wa zamani walikuwa washamba sana, yaani hawakunufaika na ujinga wa wengi, tofauti na wasomi wa kileo ambao wakiangalia mbele wanaona greena lights , opportunities, na mambo mengi mazuri. wa kileo sidhani kama wanaweza kuwaza kujinyonga. mmh ni mtazamo tu. :smile-big:
 
Kwahiyo walikua wanajiua kwakuwa kuna mambo walikuwa wanayakosa? Na kwa mtazamo wako unataka kuniambia wasomi wazamani elimu yao ni ndogo kuliko hawa wa sasa.
 
Kwahiyo walikua wanajiua kwakuwa kuna mambo walikuwa wanayakosa? Na kwa mtazamo wako unataka kuniambia wasomi wazamani elimu yao ni ndogo kuliko hawa wa sasa.
mhhhhhhhhhh na-suggest hii quotation zaidi.

katika maisha mara nyingi ukiwa hauna information ya kutosha unakuwa huna muda wa kukompliketi mambo, tofauti na ukiwa unajua mambo mengi na una taarifa nyingi. na kukompliketi huku kunaweza kupelekea kuharibikiwa. pengine kwakuwa wasomi mara nyingi wanafahamu mambo mengi zaidi, basi wanakuwa katika hatari hii.

"The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full of confidence."- Charles Bukowski - 1920-1994
View attachment 125652
 
mhhhhhhhhhh na-suggest hii quotation zaidi.

katika maisha mara nyingi ukiwa hauna information ya kutosha unakuwa huna muda wa kukompliketi mambo, tofauti na ukiwa unajua mambo mengi na una taarifa nyingi. na kukompliketi huku kunaweza kupelekea kuharibikiwa. pengine kwakuwa wasomi mara nyingi wanafahamu mambo mengi zaidi, basi wanakuwa katika hatari hii.

“The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full of confidence.”- Charles Bukowski - 1920-1994
View attachment 125652

Ni kweli hata mwalimu wangu aliniambia wasomi wanapojua haki zao na wanapozikosa huwa wanafanya maamuzi kama haya ya kujiua. Lakini najiuliza kwanini pamoja na kuwa madaktari wazuri wa akili inakuaje washindwe kuzitibu mind zao?
 
wengi wao ni wale wanaoamini kuwa hakuna mungu coz hawajui thamani yoyote ya uhai kwani waamini kuwa ulijitokeza wenywe so hata akijiua hakwendi popote coz hanaamini kuwa hakuna mbinguni wala kuzimu
 
wengi wao ni wale wanaoamini kuwa hakuna mungu coz hawajui thamani yoyote ya uhai kwani waamini kuwa ulijitokeza wenywe so hata akijiua hakwendi popote coz hanaamini kuwa hakuna mbinguni wala kuzimu

Duh! Sasa kumbe hawaamini uwepo wa Mungu kwanini wasipende zaidi kuishi kwakuwa wakifa it is over?
 
Una hakika na unachokiandika?

Kilichokufanya useme hivyo ni nini? Hicho ki list cha watu 17 kinacho span miaka 2500 karibu?
 
Ni kweli hata mwalimu wangu aliniambia wasomi wanapojua haki zao na wanapozikosa huwa wanafanya maamuzi kama haya ya kujiua. Lakini najiuliza kwanini pamoja na kuwa madaktari wazuri wa akili inakuaje washindwe kuzitibu mind zao?

mganga hajigangi!
 
Kwa sababu hawa amini Kama kuna mungu so wanaamini juu ya mind zao zaidi!!so failures Kwao ni tatizo kubwa tofauti na mtu anaeamini kila kitu ni mipango ya mungu au kila kitu ni Neema ya bwana..mtu Kama huyu kufeli hakumsumbui sana!!!
 
Mimi nionavyo.....INDIA inaongoza kwa wasomi kujiua ......kuna sister rafiki yangu ni doctor na aliattemp kujiua kwa kujichoma sindano za insulin kibao ....pona yake rafiki yake alitokea na kumpa huduma ya kwanza .....pia wanafunzi wengi matokeo yanapotoka tofauti nawanavyo tegemea...... imagine mtu ana fikiri atapata 1 class tokeo likitoka ana 2 class anajiua .....
 
Exactly.
 
Ungeweka list za hapa bongo sasa hao hata siwajui,ngoja nwaachie mie,
Niwah kuleee
 
Duh! Sasa kumbe hawaamini uwepo wa Mungu kwanini wasipende zaidi kuishi kwakuwa wakifa it is over?

kupenda wa napenda tatizo ni pale wanapoona kuwa uhai hauna kusudi lolote ndo hapo inapopelekea wao kujiua kizembe
 
Wanaojiua ni watu walio mbali na MUNGU,wasioamini uwepo wa Mungu,wasio na hofu na MUNGU.
 
wanasoikologia na wanafalsafa na wale msiomini uwepo wa Mungu akina Kiranga tuambiane tatizo linalowafanya wenye tabia za udadisi mno kama nilivyoorodhesha wachache hapo juu?.

Nadhani ulichofanya hapo ni kuchukua hao waliokufa katika mazingira ya namna hiyo kwa kuwahusisha na taaluma zao, wapo watu wa kada mbalimbali kama walimu, madaktari, wanasheria, wasiokuwa na taaluma yoyote, vichaa, wanajeshi, wanasiasa, viongozi wa dini n.k ambao wamejiua au wamekufa katika mazingira ya namna hiyo ambao ukitaka kuwachambu wa taaluma au tabia zinazofanana over ages unaweza ukapata orodha ndefu zaidi ya hiyo. Kwa hiyo siamini kama ni watu wenye uwezo wa kitaaluma au elimu kama hao ndo wanajiua zaidi. Kujiua limekuwa ni tukio linalofanywa na binadamu wa aina zote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom