Kwanini wasomi ndio wanaoongoza kwa kujinyonga duniani? Check the list list below.

Kwanini wasomi ndio wanaoongoza kwa kujinyonga duniani? Check the list list below.

Wanategemea sana akili zao kuliko kumtegemea Mungu

Akili ya mwanadamu haiwezi kuweza kumtafakari Mungu alivyo na kujua dhati yake thus why wanaojifanya hawaamini Mungu wanaishia kujiua tu.
 
Nadhani ulichofanya hapo ni kuchukua hao waliokufa katika mazingira ya namna hiyo kwa kuwahusisha na taaluma zao, wapo watu wa kada mbalimbali kama walimu, madaktari, wanasheria, wasiokuwa na taaluma yoyote, vichaa, wanajeshi, wanasiasa, viongozi wa dini n.k ambao wamejiua au wamekufa katika mazingira ya namna hiyo ambao ukitaka kuwachambu wa taaluma au tabia zinazofanana over ages unaweza ukapata orodha ndefu zaidi ya hiyo. Kwa hiyo siamini kama ni watu wenye uwezo wa kitaaluma au elimu kama hao ndo wanajiua zaidi. Kujiua limekuwa ni tukio linalofanywa na binadamu wa aina zote.

Ni kweli kwamba wanaokufa kwa kujimaliza wenyewe ni karibia kada zote za kitaaluma mimi nimewachagua wanasaikolojia na wanafalsafa kwasababu hawa watu kupitia elimu yao ndio magonjwa kama haya ya kujiua yanatibiwa. Lakini kinachonipata tabu ni kwanini hawahawa waganga wafe kwa ugonjwa uleule wanaoutibu?. Nimesoma sehemu nikakuta wanaongoza kwakujiua duniani katika wasomi ni wanafalsafa/wanasaikolojia.
 
Back
Top Bottom