Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Tanganyika, hakuna kitu kinaitwa Tanzania baratanganyika inaitwa Tanzania, ama Tanzania bara
SawaUzi wako umeuharibu kwenye hiyo Paragraph ya 3
Ulianza vizuri ila ukaingia kwenye Discrimination kwa kujua au kwa kutokujua,
Kwa mujibu wa heading yako,ni paragraph ya kwanza,kidogo na paragraph ya pili ndio vinaendana na heading yako.
huenda ni kwasababu umri wenu ni zaidi ya miaka 60.Tuwe wakweli wa nafsi zetu, ukilinganisha Zanzibar Vs Tanganyika, utagundua kuwa Watanganyika hatupendani wala hatuipendi Tanganyika. Mfano, Leo hii Zanzibar, Mwinyi "angemficha" makamu wake au waziri yoyote, unadhani Zanzibar pangekalika? Leave alone ukweli kuwa hawezi kufanya hivyo ila je ingetokea, Zanzibar pangekalika?
Leo Hii Mwigulu Nchemba na Kitila Mkumbo ambao wanatoka eneo karibia moja na Lissu, wamemchongea na kumuacha ateketezwe na mzanzibari. Sijazungumzia Nchimbi, Ally Kibao na Vijana wengine wengi waliopotezwa. Kwani tumefikaje hapa??
Angalia sehemu nyeti zote wamejaa wazanzibari kila sehemu, last time nimepanda SGR, nimeshangaa hadi security posts zote wamejaa wapemba.... leo asubuhi nimekutana na Nissan Juke ina namba za Zanzibar, plare number ina bendera ya Zanzibar, nikajiuliza, ya Tanganyika iko wapi??
wacha niishie hapa ila....
A
Tanganyika, hakuna kitu kinaitwa Tanzania bara
linatumika hivyo ili kupoteza identity ya Tanganyika, niaminiView attachment 3675047
neno " tanzania bara" ni neno rasmi sana aisee kama ilivyo tanganyika tu na tena kwenye urasmi linalipita hata "tanganyika"
muungano bado upo hai on paperslinatumika hivyo ili kupoteza identity ya Tanganyika, niamini
Kwa huu uchochezi wako unadhani huo upendo utapatikanaje? Acha ukabilaTuwe wakweli wa nafsi zetu, ukilinganisha Zanzibar Vs Tanganyika, utagundua kuwa Watanganyika hatupendani wala hatuipendi Tanganyika. Mfano, Leo hii Zanzibar, Mwinyi "angemficha" makamu wake au waziri yoyote, unadhani Zanzibar pangekalika? Leave alone ukweli kuwa hawezi kufanya hivyo ila je ingetokea, Zanzibar pangekalika?
Leo Hii Mwigulu Nchemba na Kitila Mkumbo ambao wanatoka eneo karibia moja na Lissu, wamemchongea na kumuacha ateketezwe na mzanzibari. Sijazungumzia Nchimbi, Ally Kibao na Vijana wengine wengi waliopotezwa. Kwani tumefikaje hapa??
Angalia sehemu nyeti zote wamejaa wazanzibari kila sehemu, last time nimepanda SGR, nimeshangaa hadi security posts zote wamejaa wapemba.... leo asubuhi nimekutana na Nissan Juke ina namba za Zanzibar, plare number ina bendera ya Zanzibar, nikajiuliza, ya Tanganyika iko wapi??
wacha niishie hapa ila....
A
Watanganyika ni wabinafsi kupindukia na wapo tayari kuhongwa kuua watanganyika wenzao.Tuwe wakweli wa nafsi zetu, ukilinganisha Zanzibar Vs Tanganyika, utagundua kuwa Watanganyika hatupendani wala hatuipendi Tanganyika. Mfano, Leo hii Zanzibar, Mwinyi "angemficha" makamu wake au waziri yoyote, unadhani Zanzibar pangekalika? Leave alone ukweli kuwa hawezi kufanya hivyo ila je ingetokea, Zanzibar pangekalika?
Leo Hii Mwigulu Nchemba na Kitila Mkumbo ambao wanatoka eneo karibia moja na Lissu, wamemchongea na kumuacha ateketezwe na mzanzibari. Sijazungumzia Nchimbi, Ally Kibao na Vijana wengine wengi waliopotezwa. Kwani tumefikaje hapa??
Angalia sehemu nyeti zote wamejaa wazanzibari kila sehemu, last time nimepanda SGR, nimeshangaa hadi security posts zote wamejaa wapemba.... leo asubuhi nimekutana na Nissan Juke ina namba za Zanzibar, plare number ina bendera ya Zanzibar, nikajiuliza, ya Tanganyika iko wapi??
wacha niishie hapa ila....
A
uko sahihi kabisa, in few years hapo mbeleni Tanganyika itatoweshwa kabisa na Zanzibar itakua dola kamili huku Tanganyika ikifutika katika uso wa dunia.Kuna msemo unasema every human being is selfish in nature, yaani Kila binadamu ni mbinafsi kwa asili, shida ni huo ubinafsi unapozidi au kupitiliza, wengi ya hao watanganyika walioko humo serikalini siyo kwamba hawaoni ubaya katika haya yote yanayoendelea la hasha, ila wameamua kukaa kimya kulinda maslahi yao na ustawi wao, kwao utaifa siyo kipaombele, dhana ya utaifa haina mantiki kwao, unajua kwenye hii dunia ni watu wachache sana waliojaaliwa ile hali ya kujisacrifice kwa ajili ya wengi yaani kujitoa sadaka kwa maslahi ya wengi watu hao ni wachache na huzaliwa kwa nadra sana, embu muangalie Tundu Lissu ni miongoni mwa hao wachache ninaowazungumzia hapa
Nakubaliana na wewe kabisa kabisa aiseeeeeWatanganyika ni wabinafsi kupindukia na wapo tayari kuhongwa kuua watanganyika wenzao.
Hivi kwa mfano muasisi wa muungano alikubali vipi kuua identity ya tanganyika na kubakisha ya zanzibar?
Kama si ubinafsi na kuwauza nduguze