redSilverDog
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 470
- 76
Samahani, lakini itabidi niseme ukweli. Tanzania kwenye swala la teknolojia, tumelemaa. Tumekinai, hatutaki challenges na tunapenda virahisi.
Jee ni kwasababu, au ndo tunavyofundishwa hivyo? au labda Serikali haitusaidii? Ndo kukata tamaa kwa kizazi kipya?
Tatizo liko wapi? Kwanini hamna linux yetu? social network kutoka hapa? software zetu? simu zetu? kwanini?
Na sio kwamba haiwezekani, mimi nina asilimia 100 kwamba inawezekana sisi kuwa hata nafasi ya 5, 2 au 3 kwenye maswala ya ICT in 20 years!!