omary000
Member
- Jul 28, 2020
- 7
- 2
kk naomba unielekeze jinsi ya kuagiza mzigo kutoka kwenye masoko kama ebayunaweza kuuzz hata EBAY sio Alibaba tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kk naomba unielekeze jinsi ya kuagiza mzigo kutoka kwenye masoko kama ebayunaweza kuuzz hata EBAY sio Alibaba tu
Unawapataje? Tupe uzoefu mwamba!Kama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners.
Naomba ufafanuzi zaid nijiunge..nimekuja pm nikakutana na maelezo marefuu nikashindwa kukutumia ujumbeWapo wengi sana na makampuni mengi wanatumia hasa ya export na wano import ni wengi uwezi jua watu wanatumiaje but if u have a dill ndipo utakapokutana na watu huko from tz.... na pia kuna mitandao mingi ya kufanya biashara more thana alibaba ... kuna kama trade key,dragon na mingine mingi so tupo ila sana
Kama unataka business na Huna pesa ya mtaji mwingi ingieni Alibaba tafuta small business partners.
Naomba jielekeze jinsi ya kuuza ebay na alibaba???unaweza kuuzz hata EBAY sio Alibaba tu
Ipo je hii maelezo tafadhar dada yangumbona nipo huko mda mrefu sana