Kwanini Watanzania hamna shukrani kwa walimu?

Utakuwa ulivaba aisee!

Probably you were not informed at all!

You were not having any awareness!

Ni nadra sana kutokea!
 
Mimi nina division one na ni mwalimu mkuu..na nimeupenda mwenyewe ...mwaka wa kumi huu nafundisha...
Hahahaaa... Kujifariji hakuwezi kubadilisha ukweli.

Kama wewe ni mwalimu kweli basi nina uhakika una div four.
 
Sasa kama MTU kakopa Hadi mwisho ni akili yake usi generalize Kuna wengine wanaishi kwa Raha na take home kubwa tu kwanin hutolei mfano waalimu wenye mafanikio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…