Kwanini Watanzania hatuwezi kutengeneza matangazo mazuri ya biashara?

Kwanini Watanzania hatuwezi kutengeneza matangazo mazuri ya biashara?

Nyie mnaoponda na kulalamika humu kwanini msianzishe makampuni yenu ya kutengeneza hayo matangazo?changamkeni opportunity ndio hizo sio kuja humu kupiga domo tuu huku mnajua cha kufanya...mkifanya kazi nzuri wateja wote watakuwa wenu

ni kweli "empty debes make the most noise" but on the other side pia "critics help to shape up the society"
 
Kila tangazo zuri linatengenezwa nje ya nchi, kwanini tunashindwa?


Wabongo wengi wenye makampuni wanayoyaita ya media na bongo muvi wameInvest big time kwenye vifaa na sio creativity ambayo kamwe hainunuliwi dukani its just finding the right people... Shule nayo muhimu aisee..
 
Last edited by a moderator:
Pia wengi hawafuati procedures za kutengeneza adverts(eg wengi hawafanyi hata pre-testing kwa target audience before tangazo kuwa aired etc), pili FANI imeingiliwa na kila mtu-hizi fani zinataka watu professional kucoordinate na kuyafanya pia! Nilicoordinate matangazo fulani huwezi amini one tv spot ya 1minute kushoot tu ilichukua three days kuanzia asbh hadi jioni for 3 consecutive days ingawa editing ilifanyikia nje, Pili sometimes malipo madogo sana-client anataka tangazo iwe isiwe so mfanyabiashara hawezi kukataa pesa, na pia hiyo 10 percent hapo ndo mambo yote....
 
Rushwa Tanzania inarudisha sana maendeleo nyuma. Watengenezaji wa matangazo mazuri wapo ila kupatiwa nafasi ndo inakuwa ishu.
 

Attachments

Nina ideas kibao nzuri kwa bidhaa tofauti, ila pa kuanzia ndio huwa sijui. Hivi hamna mkataba for sale of ideas? Kwa sababu hawachelewi kuchakachua wakanizingua. I would need to protect my IPR

Hehehehe

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
If u have a multimedia project you can contact me.
 

Attachments

  • cover.jpg
    cover.jpg
    73.6 KB · Views: 54
Back
Top Bottom