jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
- Thread starter
- #21
Hili ni tatizo kubwa sana..nchi hii kila mtu mpigaji.Katika uwekaji wa cement ili kupata ratio sahihi, inabidi mafundi wasimamiwe kwa mtutu wa bunduki.
#MaendeleoHayanaChama