Hayo yote tisa, kumi uwe unasafiri na dada yako au mkeo.........heeeee, yataka moyo kuona kawaida 'kumbatio' analoweza kukutana nalo!!Ni tabia inayokera sana ndani ya jamii, hawa makonda na madereva wao ipo siku watapigwa makofi na abiria wasiopenda kubanananishwa. Kuhusu kujenga mpaka mpakani bila kuacha nafasi nako ni kero na ujinga, unakuta jirani anajenga mpaka ukutani mwa jirani mwenzake ikitokea janga la moto hasara inaingia mpaka kwa mwenzake. Pia kuna kuambukizana wadudu na wanyama wasumbufu kama kunguni, chawa, papasi, mbu, utitiri, viroboto na panya. Sheria kali za ujenzi ziwepo ili kuzuwia nyumba kubanana
Mimi ni mtu mbinafsi sana.Watanzania tuna utamaduni wa kubanana sana. Ukiingia kwenye daladala, hakuna mtu atakayefanya jitihida za kutobanana, utakuta abiria anamwegemea abiria mwingine kila kupata ridhaa mradi tu "sote tubababe."
Konda wa daladala anaweza kujaza abiria kuliko uwezo wa gari na kuwaacha wabanane na wala abiria hao hawawezi kulalamika.
Kwenye ujenzi wa makazi, utaona watu wanajenga mpaka kwenye mpaka wa kiwanja bila kuweka ile futi sita clearance kiasi kuwa mtu hawezi kupita katikakati ya viwanja viwili. Sababu yake ni nini?
Out zangu nyingi ni sehemu tulivu kwa njini, nje ya mji, milimani, waterfalks na mbugani...hopo roho yangu huburudika....
Nahisi mimi mbinafsi sana
Hilo ndilo lililonifikirisha hadi kuanzisha uzi huu. Yaani mtu akiambiwa mpaka wa kiwanja chake ni kigingi, basi yeye anajenga mpaka kwenye kigingi hicho. Taabu kweli.Hiyo ya ujenzi wa makazi kuna mtu kanikomesha hadi nyumba yenyewe imenitumbukia nyongo, yaan namchukia yule mzee Mungu anisamehe tu [emoji119]
Watanzania tuna utamaduni wa kubanana sana. Ukiingia kwenye daladala, hakuna mtu atakayefanya jitihida za kutobanana, utakuta abiria anamwegemea abiria mwingine kila kupata ridhaa mradi tu "sote tubababe."
1. Wanataka kutiana vidoleWatanzania tuna utamaduni wa kubanana sana. Ukiingia kwenye daladala, hakuna mtu atakayefanya jitihida za kutobanana, utakuta abiria anamwegemea abiria mwingine kila kupata ridhaa mradi tu "sote tubababe."
Konda wa daladala anaweza kujaza abiria kuliko uwezo wa gari na kuwaacha wabanane na wala abiria hao hawawezi kulalamika.
Kwenye ujenzi wa makazi, utaona watu wanajenga mpaka kwenye mpaka wa kiwanja bila kuweka ile futi sita clearance kiasi kuwa mtu hawezi kupita katikakati ya viwanja viwili. Sababu yake ni nini?
Unaniogopa kama ukoma, nafurahi mwandiko wangu unakutisha, endelea kuniogopa😂😂😂Wewe sio Mbinafsi unapenda nature na utulivu, mimi pia next time tualikane mbugani na waterfalls,
Milimani hapana, nina phobia ya height (acrophobia) 🥲
Deoforant ni 99% hawaijuiWatu wengi hawaogi na kupaka deodorant
Karibu sana [emoji847]Na mimi mnilake kwani utulivu ni ada yangu.
Kheeeee! [emoji15][emoji2296]Unaniogopa kama ukoma, nafurahi mwandiko wangu unakutisha, endelea kuniogopa[emoji23][emoji23][emoji23]
Deoforant ni 99% hawaijui
Amefanyaje Dr. WanguHiyo ya ujenzi wa makazi kuna mtu kanikomesha hadi nyumba yenyewe imenitumbukia nyongo, yaan namchukia yule mzee Mungu anisamehe tu [emoji119]