Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,270
- 3,623
wiki yetu cc inaanza j3, hiyo habari ya jumamosi ni mapokeo tu ya kalenda zilizotengenezwa na wenzetu wa miaka ileeeeee!!!!!! ugiriki hukoHabari za muda huu watu wote.
Nilikua naomba kufahamishwa ikiwa kimahesabu.. Mosi ni moja(2) kwa maana hiyo jumamosi siku ya kwanza ya wiki ... Hivyo ni mwanzo wa wiki yenye siku saba.
Sasa inakuaje hapa Tanzania mwisho wa wiki yetu inakua ni kwenye pili (jumapili) ?
Msaada Tafadhari!
Kwahiyo ... Namba zetu zinaanza na tatu??wiki yetu cc inaanza j3, hiyo habari ya jumamosi ni mapokeo tu ya kalenda zilizotengenezwa na wenzetu wa miaka ileeeeee!!!!!! ugiriki huko
no zinaanza na moja kama kawaida, calendar ni jambo jingine tofauti kbs, jiulize tu kwanini mwezi febry una siku 28!!!, nani alisema iwe hivyo!!!!, pekua sana utagundua kwamba ni maamuzi ya watu fulani kulingana maisha yao wakati ule.Kwahiyo ... Namba zetu zinaanza na tatu??