Kwanini Watanzania wako obsessed na Kenya?

It is simple...hata mapadri na mashehe mara kwa mara humtaja shetani au ibilisi.
 
Yaani Kenya mpaka vijijini ni muziki wa bongo Flava Tu...nimeshangaa sana...cd kibao kwenye taxi matatu vijiwe nongwa etc..t-shirt za wcb mara unaona magufuli stationery( Iko eldoret)
Mziki unapigwa mpaka vijijini kwa sababu ya lugha ,lugha Ni chombo muhimu Cha utangamano na ndio ukitembea Kenya sio rahisi ukutane na mziki wa uganda ukipigwa kwa sababu ya lugha.
 
Huku Tanzania hakuna politicians wenye kumiliki helicopter. Sisi sio corrupt society kama ninyi.
Nani kasema hizo ndege zinamilikiwa na politicians?

Ninyi sio corrupt mbona taarifa ya ununuzi wa ndege anaeijua tu ni magufuli Wala bunge halikuidhinisha bajeti ya huo ununuzi na ukiiuliza taarifa hizo unashughulikiwa na watu wasiojulikana, pili nyie ambao sio wafisadi mbona rais wenu kajenga uwanja wa ndege kijijini kwao na mkandarasi alikua mume mwenza wameoa boma moja na mtu wa kutoa pesa hizo Ni dotto James mpwa wake jiwe Kama huo sio ufisadi Ni Nini?

Usijitie hamnazo utaonekana poyoyo.
 
Mtu akiwa ovyo basi mawazo yake pia hubaki kuwa ovyo tu
Kama ilivyo nchi ya Kenya. Kenya ni hovyo na mawazo yenu pia ni hovyo. Haiwezikani mtufungie kuingia Kenya kwa sababu za kuwalinda raia wenu, baada ya kuwatia kibano mkalegea na kutuachia tuingie bila masharti yoyote, ina maana raia wenu hamuwalindi tena?, hovyo sana ninyi.
 
Almost viongozi wote wakuu wa kisiasa Kenya wanamiliki Helicopter, Uhuru, Rutto, Raila, Mudavadi, Kalonzo, na baadhi ya Magavana.

Hayo mengine unayosema ya ununuzi wa ndege, sheria zote zinazohusu manunuzi zilifuatwa, tatizo unasikiliza kelele za Zitto Kabwe na wapiga kelele wengine, hiyo ni juu yako.

Ukiangalia viwango taasisi za kimataifa zinazotafiti juu kuhusu viwango vya rushwa katika kila nchi, Tanzania inaendelea kupanda siku hadi siku, you are free to trust either among the two, noise maker politicians or credible international bodies.
 
Nchi ovyo na unashinda ukitajataja na kuwaza 24/7 itakua basi wewe ni ovyo pia basi
 
Km kuna watu wako obsessed n Tz n wakuny ...nenda kwend channel zao za tv, tweeter,youtube, angalia bench mark yao ni nani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] humu jf ndio kichekesho.

 
Hapa ndege Ni kitu Cha kawaida tu Wala hatusifii viongozi kwa kununua bombardier walizozifilisisha wao wenyewe, kupeleka serikali nzima uwanja wa ndege kwenda kuipokea bombardier ni ushamba wa viongozi ambao wametolewa majalalani.

Ununuzi upi ambao ulifata kanuni? Unasema hivyo kusudi usikose buku Saba pale mtaa wa lumumba, ukweli wa Mungu ni kwamba hizo taarifa zinajulikana na magufuli tu,Hakuna anaezijua na mtu hawezi kuuliza maana wapo wasiojulikana tayari kukushughulikia.
 
Hivi kununua ndege na kufurahia unaita ni ushamba, je kula pesa ya NYS kwa kuwapa kandarasi ndugu na dada wa Uhuru Kenyatta tuite nini?, kumlipa mshahara mama Ngina Kenyatta tuite nini?, kuiba pesa ya Covid-19 tuite nini?, ninyi ni nchi ya hovyo hata kuzuia Corona hamuwezi, nchi ndogo kama Rwanda na Uganda zinawashinda.
 
Kama unatoka Kunyaland nchi haijawahi kununua ndege kwa pesa yake for KQ lazma uone ushamba!
 
Yes!! You are bloody sellouts! We know that well. You are puppets of the west we know that!! You kiss the west's ass all the time we know that.

Even during apartheid you were the only African country supporting the boers. We know that.

Hamna utu. ..manajali pesa tu
The west is buying your ass...We know that! The sad part is only the elite are eating the money but the ordinary bafoons are more proud.

Shame on the Kenyan corrupt government! ! Shame on all Kenyans that support these stinky policies! ! Shame on all of you!!
 
Kwa huu utopolo ndio maana 28 tunakomesha hizo buku Saba unazolipwa ,wewe unaona Kama ni dhambi kumlipa mama ngina Kenyatta mshahara lakini huoni ikiwa dhambi Maria nyerere akipewa mshahara na kumlazimu kwenda kwenye mikutano ya hadhara ili awe mmoja wa vichwa ambavyo zinajaza uwanja.

Kama hata Hana Cha kusema Bibi wa watu mnamlazimu aseme chochote ilimradi jiwe afurahie . Magufuli akijenga uwanja wa ndege kijijini kwao kutumia pesa za umma ili awe anakitumia yeye na mamake huoni Kama ni ufisadi huo? Kandarasi anapewa mume mwenza kujenga uwanja wa chato na mtoaji fedha za ujenzi ni mpwa mtoto wa dadake magufuli Dotto James huoni Kama ni ufisadi?

Yani hazina ya serikali kuu inasimamiwa na mpwa ,ukiuliza kidogo kuhusu taarifa za ununuzi wa ndege unashughulikiwa na watu wasiojulikana. Dreamliner inafanya usafiri wa chato Hadi daa kumpeleka mtu mmoja,ndege zinabeba hadi mbuzi.kuwaengua wapinzani ili CCM ipite bila kupingwa huoni Ni uhuni wa kifisadi?

Kwa mfano Jimbo la ruangwa ambako anatoka kassim majaliwa wagombea kutoka vyama pinzani wanaenguliwa na wengine kutekwa . Tunataka uhuru, haki, usawa na maendeleo endelevu katika JMTna hayo yote yataletwa na kamanda mkuu wa pipooos power #niyeye2020 Lissu.
 
Ushakuwa mTz leo?? Wallahi mengi yanakuja [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Uzi wa kike huu. Uncle Magu ashaa zaa na nyie corona hadi mkatii. Ngojeni magu atayarishe dude lake awatie na SGR, Stiglers nkt.
Hii awamu ya magu hadi tigo zitawauma
Siku hizi umewacha kujifanya kuwa wewe ni Mkenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…