Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Wacha uongo yenu ya kitanzania. Munajua tu kinachoripotiwa na vyombo vya habari vya Kenya alafu kuenda twitter kutafuta watu 2 au 4 wanaozungumza vibaya juu ya Kenya.Kwanza ukitaka kujua Watanzania sio wakenya karibu nchi zote zinazotuzunguka tunazijua kiundan kuliko wao wenyewe hiyo ndio sifa ya Watanzania na huu ndio uzalendo na ndio maana hata viongozi wetu wakiamua kupiga spana Kwa kila taifa lazima liombe poo Kwa kua kila taifa tunalijua udhaifu wake upo wapo
Lakini ukweli ni kwamba Kenya iko mbele ya Tanzania na mbali sani, ili mfike tulipo sahi mngoje 2040. Tanzania bado ni nchi iko chini kabisa kimaendeleo, kimasomo, miundo mbinu etc.
Watu hawaezi jua kuhusu Tanzania sana kwa sababu huyo kilaza wenyu amefinya wanahabari, wanaharakati na upinzani. Nyinyi wenyewe hakuna anayeweza dhubutu kuongea.
Kwa ufupi ninasema nyinyi ni north korea ya afrika mashariki.