Kwanini Watanzania wako obsessed na Kenya?

Kwanza ukitaka kujua Watanzania sio wakenya karibu nchi zote zinazotuzunguka tunazijua kiundan kuliko wao wenyewe hiyo ndio sifa ya Watanzania na huu ndio uzalendo na ndio maana hata viongozi wetu wakiamua kupiga spana Kwa kila taifa lazima liombe poo Kwa kua kila taifa tunalijua udhaifu wake upo wapo
Wacha uongo yenu ya kitanzania. Munajua tu kinachoripotiwa na vyombo vya habari vya Kenya alafu kuenda twitter kutafuta watu 2 au 4 wanaozungumza vibaya juu ya Kenya.
Lakini ukweli ni kwamba Kenya iko mbele ya Tanzania na mbali sani, ili mfike tulipo sahi mngoje 2040. Tanzania bado ni nchi iko chini kabisa kimaendeleo, kimasomo, miundo mbinu etc.

Watu hawaezi jua kuhusu Tanzania sana kwa sababu huyo kilaza wenyu amefinya wanahabari, wanaharakati na upinzani. Nyinyi wenyewe hakuna anayeweza dhubutu kuongea.
Kwa ufupi ninasema nyinyi ni north korea ya afrika mashariki.
 
Ndio hatuwafikii hata kidogo maana muna uchumi mkubwa halafu pia Kenya maruufu Sana mpaka inapewa misaada ya vyakula kama unga na mchele kutokana na umaarufu wake inajulikana Sana ila TANZANIA hata hijawahi kupewa hiyo misaada wala cwezi kubisha kama Kenya ipo mbali Sana labda baada ya miaka 40 au 50 pengine TANZANIA ndio itakua na huko ila Kwa sasa bado sana
 
i) Wacha uongo UNFP huwa inawapa msaada kwa sababu watoto wenyu wengi wako na utapia mlo. Akili zao hazikui vizuri kwa sababu ya kula mihogo na maharage kila siku.
ii) Kenya hainunui mchele kutoka Tanzania, ina nunua kutoka pakistan na india.
iii) Ni habari inayo julikana dunia mzima kenya ndio nchi pekee afrika mashariki iliyo endelea na ambayo haiko katika Least developed countries. Nyinyi bado mko kwa hii category mpaka sahu kwa sababu kimaendeleo mko chini, kimasomo mko pabaya etc.
 
Ongea vitu vyenye ushahidi sio unaongea tu kama mtu asiekua na uhakika wa kula usiku . Kenya ipi inayonunua mchele ? Nataka uniletee video ya TANZANIA kupewa msaada wa chakula na nchi yeyote ile duniani Mimi nitakuletea video zinazoonesha Kenya inapokea msaada wa chakula kutoka china marekani na uwarabuni kasaro kwao kuna janga ila bado inawasaidia chakula nchi ya kenya failed state
 
Kenya
1)Tribalism
2)Corruption
3)Hunger
4)Unemployment
5)Crime
6)Slums
7)Police brutality
8)Unemployment
9)Slums
10)Terrorism
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiongezea hapo laziness, poverty plus witchcraft equals Tanzania
 
i) Wacha uongo UNFP huwa inawapa msaada kwa sababu watoto wenyu wengi wako na utapia mlo. Akili zao hazikui vizuri kwa sababu ya kula mihogo na maharage kila siku.
ii) Kenya hainunui mchele kutoka Tanzania, ina nunua kutoka pakistan na india.
iii) Ni habari inayo julikana dunia mzima kenya ndio nchi pekee afrika mashariki iliyo endelea na ambayo haiko katika Least developed countries. Nyinyi bado mko kwa hii category mpaka sahu kwa sababu kimaendeleo mko chini, kimasomo mko pabaya etc.
COVID-19: Karibu Wakenya milioni moja wakabiliwa na uhaba mkubwa wa chakula
 
Ng`ombe za jayden.... anaziswaga tu anavyotaka na kuzikamua to the maximum.
Screenshot_20200921-194050_1600706489463.jpg
 
Lies , Tanxania is my ex country before I moved , I know the country its one state man ,who make decisions of the whole country, no freedom of press, I bet kenya is doing better that our country
We ni li Kenya usijifanye mtz

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Waelewe tu na uwaonee huruma, wapo frustrated sana na maisha na wana bifu zao personal. Kwa mfano huyu mzee hapa huwa ana hasira sana kwasababu walinyang'anywa shamba lao na manyang'au. [emoji1]
Geza Ulole Wakenya wagani waliwanyang'anya shamba? Doh. Kumbe ndio maana jamaa ana machungu hivi? Pole sana mzee.
 
Ongea vitu vyenye ushahidi sio unaongea tu kama mtu asiekua na uhakika wa kula usiku . Kenya ipi inayonunua mchele ? Nataka uniletee video ya TANZANIA kupewa msaada wa chakula na nchi yeyote ile duniani Mimi nitakuletea video zinazoonesha Kenya inapokea msaada wa chakula kutoka china marekani na uwarabuni kasaro kwao kuna janga ila bado inawasaidia chakula nchi ya kenya failed state

Tanzania chronic malnutrition is above the african average with 32% of the children under 5 having stunted physical and mental growth. enda website ya WFP uone jinsi wanawasaidia kutoka kwa vyakula vyenyu hafifu ya mihogo na maharage.

WFP is supporting government efforts to combat malnutrition in all its forms and is distributing specialized nutritious foods to address stunting. Punguzeni kula maharage na mihogo. Mboga, carrot, peas etc pia ni chakula, nyinyi mumejiweka tu kwa maharage, mihogo na mahindi.
 
Back
Top Bottom