Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 10,494
- 9,854
Huwa nashangaa pale ambapo nyuzi karibu zote za Kenya section zimeanzishwa na Watanzania ilhali nyuzi za mapenzi section au nyuzi zingine za Kitanzania zimeanzishwa na Watanzania wenyewe.
Hii inaashiria kwamba Kenya ni babu la Watanzania ndio maana hawawezi kuishi bila kuwaza Kenya na kuposti posti mambo ya Kenya. Unapata Mlazy amefanya research kuhusu Kenya na ametumia data bundles nyingi kutazama videos za Kenya kwenye youtube. Wanasoma magazeti za Kenya usiku na mchana.
Wanajua mambo mengi kuhusu Kenya hata kushinda wakenya wenyewe. Watanzania wanaoongoza kuwaza Kenya ni Geza Ulole na joto la jiwe.
Nini chanzo cha tabia hii?
Have you ever seen a rich guy akifuata masikini?, eti matajiri wanachunguza maisha ya masikini, anakula nini, kavaa nini n.k! haiwezekani! Tanzanians hawawezi fuatilia mambo ya Malawi, Uganda ama Burundi na South Sudan., wana angalia alie juu yao kwa wivu mingi, wanatamani tuanguke wafike, roho mbaya sana ya kichawi, hiyo laana imewafungia kutoka kwa umasikini, licha ya kua na rasilmali mingi mno, CCM has blinded them with useless infrastructure inrelation to human development programmes, poverty in Tanzania sio kama ya Kenya ama kwingineko, where it is in pockets, or specific areas, kwao umasikini umetapakaa, angalia tu Dar ilivyo, masikini ni over 70% of the populace! look at their residentials, 80-90% of Dar is substandard, nyumba za kishamba kishamba za kiswahili kama zile za coast mashambani, , ukienda mashinani ni vile vile, unapata tajiri amezungukwa na masikini wengi balaa!!,
I know Tanzania bro, many are clueless about life, wanaishi tu kifala fala, a few are wise and doing well, wajanja wameandika mafala and paying them peanuts, the economy of Dar is controlled by 10% of the rich, govt na private investors kama mkora flani ako na base n family in Mombasa, I know his friends, some were drug dealers, anajiita Azam, ameshikilia Dar. Poor people ndio huwa obsessed na the rich, the rich hawana time na poor people, ndio maana an average kenyan doesn't know much about TZ, only Bongo flava na Magufuli period!