Kwanini Watanzania wako obsessed na Kenya?

Huwa nashangaa pale ambapo nyuzi karibu zote za Kenya section zimeanzishwa na Watanzania ilhali nyuzi za mapenzi section au nyuzi zingine za Kitanzania zimeanzishwa na Watanzania wenyewe.

Hii inaashiria kwamba Kenya ni babu la Watanzania ndio maana hawawezi kuishi bila kuwaza Kenya na kuposti posti mambo ya Kenya. Unapata Mlazy amefanya research kuhusu Kenya na ametumia data bundles nyingi kutazama videos za Kenya kwenye youtube. Wanasoma magazeti za Kenya usiku na mchana.

Wanajua mambo mengi kuhusu Kenya hata kushinda wakenya wenyewe. Watanzania wanaoongoza kuwaza Kenya ni Geza Ulole na joto la jiwe.

Nini chanzo cha tabia hii?

Have you ever seen a rich guy akifuata masikini?, eti matajiri wanachunguza maisha ya masikini, anakula nini, kavaa nini n.k! haiwezekani! Tanzanians hawawezi fuatilia mambo ya Malawi, Uganda ama Burundi na South Sudan., wana angalia alie juu yao kwa wivu mingi, wanatamani tuanguke wafike, roho mbaya sana ya kichawi, hiyo laana imewafungia kutoka kwa umasikini, licha ya kua na rasilmali mingi mno, CCM has blinded them with useless infrastructure inrelation to human development programmes, poverty in Tanzania sio kama ya Kenya ama kwingineko, where it is in pockets, or specific areas, kwao umasikini umetapakaa, angalia tu Dar ilivyo, masikini ni over 70% of the populace! look at their residentials, 80-90% of Dar is substandard, nyumba za kishamba kishamba za kiswahili kama zile za coast mashambani, , ukienda mashinani ni vile vile, unapata tajiri amezungukwa na masikini wengi balaa!!,
I know Tanzania bro, many are clueless about life, wanaishi tu kifala fala, a few are wise and doing well, wajanja wameandika mafala and paying them peanuts, the economy of Dar is controlled by 10% of the rich, govt na private investors kama mkora flani ako na base n family in Mombasa, I know his friends, some were drug dealers, anajiita Azam, ameshikilia Dar. Poor people ndio huwa obsessed na the rich, the rich hawana time na poor people, ndio maana an average kenyan doesn't know much about TZ, only Bongo flava na Magufuli period!
 
then kama ni hivi basi hatufatilii kenya pekee ni pamoja na US,SA,CHINA nk.

lakini sababu nyinyi ndio mko na kiwewe huhisi tunawafuatilia nyinyi peke yenu.hata hivyo nyinyi sio matajiri kiasi cha kuacha kutufatilia.
 
We are in the right track..In 5 years to come Tz itakuwa mbali sana kiuchumi chini ya uongozi wake Jemedari Magufuli...najua wakenya wengi wanatamani Magufuli aanguke kwenye uchaguzi huu coz ameonekana kuwa ni threat kwao. Tunaenda kimya kimya siku mkija kushtuka tutakuwa mbali sana.

Naombea Ruto ashinde uchaguzi wao next year awapige hela hadi wachanganyikiwe..

Shalom
 
I wish you success, sio vizuri kuzungukwa na nchi fukara, nawatakia pia majirani wenu akina Malawi, Burundi, Congo, Zambia na pia wafanikiwe, pia Somalia, South Sudan, Ethiopia na Uganda wafaulu kiuchumi tuwe kama ama zaidi ya Europe.
Five years ni kidogo, Kenya itakua imepiga hatua kubwa sana ju we have an established system in place
 
Established system gani? Katiba ambayo mlimuita kabudi awapee kopi? Ama system ya majabazi wa corona?
 
Anaweza akawapa tabu sana kwenye mdahalo atawaumbua maana mumezoea kueleza bila kuhojiwa kauli zenu, yaani kwenye mdahalo unakalishwa kwenye kiti moto, unahojiwa ulivyoboronga kwenye korosho na kuacha wakulima wakiteseka, mindege umenunua isiyokua na tija, uchumi kwenye awamu ya tano ndio umekua kuliko awamu zote, madeni mumechukua kutoka kwa mabeberu kuliko awmu zote yaani kuna mengi mnaweza mkalishwa za uso, duh hata msithubutu, kaeni mbali na habari za mdahalo, nyie ongeeni huko kisukuma na kutegemea kete ya ukabila.
Na bado Tz ni nchi yenye deni dogo zaidi EA[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom