Kwanini watanzania wana roho mbaya hivi?

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Nimejaribu kufanya Utafiti mdogo tu mitandaoni nimeona Tanzania inaongoza kwa kulalamikiwa kuua biashara za majirani zetu wote.

Hivi ninyi watanzania mnaosifika wa uvivu na uzembe ni kwanini mnawaua biashara za watu hivi? 🤔

Cheap Tanzanian rice leaves 1,000 Busoga farmers stranded

Screenshot_20200926-092446~2.png
Screenshot_20200926-091641~2.png
Screenshot_20200926-091048~2.png
Screenshot_20200910-050043.png
 
Nimejaribu kufanya Utafiti mdogo tu mitandaoni nimeona Tanzania inaongoza kwa kulalamikiwa kuua biashara za majirani zetu wote.

Hivi ninyi watanzania mnaosifika wa uvivu na uzembe ni kwanini mnawaua biashara za watu hivi? [emoji848]

Cheap Tanzanian rice leaves 1,000 Busoga farmers stranded

View attachment 1581180View attachment 1581181View attachment 1581182View attachment 1581184
Hawawezi kuja mkuu wameweka kikao cha dharura kuangalia jinc gn wamuombe mchina awasamehe deni lisilolipika la white [emoji208] Chinese sgr [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Malazy mnajitekenya na kucheka wenyewe?
 
Hizi vurugu zote ambazo mnaziona za Tanzania ni 1% tu ya akili ndo imetumika, je tukifika 2% c tutakuwa km China [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

wanasema siku zote bianaadam mwenye akili timamu huweka akiba ya maneno.ukiongea sana mwisho wa picha utagundua maneno uliyoropoka yanasikika kichwani kwako tena yakikuamrisha[emoji28][emoji28][emoji28]

wanasema sisi ni wavivu tumekubali,hatutumii akili tumekubali,hatuna expossure tumekubali,hatuna mwamko tumekubali na kukaa kimya.ajabu ndio tunawaamulia walale wamevaa nguo gani na kula mlo upi[emoji16][emoji16][emoji16].

kweli mtz ni maji marefu yaliyosimama,jichanganue uzame bila msaada.
 
Kukaa kimya ndo siraha yetu.wao wanapiga kelele mwisho wa siku spana kama kawaida[emoji123]
 
Na huu ukimya na uungwana wetu ndio unawachanganya akili, yaani namna watanzania tulivyo loyal and down to earth ndio wakenya wanachukulia kama udhaifu kwa wasiotujua in details

Wenyewe wamezoea mtu anayejiweza basi ni katili sana, mshari, mbabe, showoff, muongeaji sana, maarufu, Hawajui Tanzania utamaduni wetu ni tofauti sana

Ni kawaida kumkuta mtanzania mwenye mabilioni lakini ni mtu wa kawaida tu anajichanganya na kila mtu mfano mzuri Laizer

Watanzania hatujaruhusu materials thing viondoe utu wetu tofauti na wa kunyans
 
sonko anavaa mabangiri ya dhahabu na mapete mia mia umri ule,ushamba tu.

juzi naona eti kanunua gari ya wazi anazurula nayo mtaani akiendesha[emoji23][emoji23][emoji23],hata makonda hajawahi kuwa mbuzi namna hii.
 
Wakenya na ushamba havijawahi kukosana 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom