Kijana LOGICS
Senior Member
- Dec 16, 2023
- 140
- 536
Wacha uongo sababu hupitii kila page.Watanzania wengi wana kaushamba ka kutoa maoni kwenye mitandao ya kijamii.
Sehemu Pekee wanacomment kwa adabu ni post za Vifo vya ajali hususan ajali za barabaran
Lakini post nyingine zote wanatoa maneno ya chuki na roho mbaya
Wenzetu ulaya wanacomment kwa adabu hâta kwa wale wacheza picha za ngono etc.
Asilimia 95/% kwenye page za wenzetu huwa wanacomment kiustaarabu mno huwa nasoma mitandao mbalimbali hata Kwa waafrica wenzetu huwa wanajielewa mno nahisi kutokana na elimu pia inawasaidia..Wacha uongo sababu hupitii kila page.
Hao watu wa ulaya wanatukana kinoma uzuri tu tusi ambalo sio lugha yako wala haliumizi.
Kunywa maji kijana.
Kwahiyo na wewe ni mjinga pia mkuu?A
Asilimia 95/% kwenye page za wenzetu huwa wanacomment kiustaarabu mno huwa nasoma mitandao mbalimbali hata Kwa waafrica wenzetu huwa wanajielewa mno nahisi kutokana na elimu pia inawasaidia..
Ukitaka kujua wabongo ni wajinga ni kipindi kile mbwana samatta amejiunga na Aston villa club wabongo walienda kukoment UJINGA Hadi unawaonea huruma alafu wengine walikuwa wanajisifu kabisa.
Kwa nchi zote za Africa nadhani watanzania wanaongoza Kwa UJINGA kuanzia viongozi Hadi wananchi
Angalia jinsi waafrica mashariki wenzetu walivyotuacha mbali kwenye uelewa hapo ndiyo utajua kuwa hii nchi kuna laana kubwa Kwa watu wake angalia jinsi maisha ya DAR watu wanavyoishi utapata jibuWanaotukana huwa wanakosa majibu kwa kutokuwa na uelewa wa hilo jambo, na pia chuki za ukabila, udini na hata umasikini
Wengi hawana la kujibu na kuishia kutukana au kukejeli
Mtu anasema ana gari lake benz
Weee atatukanwa na kukejeliwa hapo
Yaani mtu anajibu hata hamjui sasa kama sio umasikini ni nini
Akiangalia familia yake hata mmoja hamiliki Benz
Kwa sababu kinachopoatiwa nacho kinakuwa cha hovyo.Watanzania wengi wana kaushamba ka kutoa maoni kwenye mitandao ya kijamii.
Sehemu Pekee wanacomment kwa adabu ni post za Vifo vya ajali hususan ajali za barabaran
Lakini post nyingine zote wanatoa maneno ya chuki na roho mbaya
Wenzetu ulaya wanacomment kwa adabu hâta kwa wale wacheza picha za ngono etc.
HAPANAWacha uongo sababu hupitii kila page.
Hao watu wa ulaya wanatukana kinoma uzuri tu tusi ambalo sio lugha yako wala haliumizi.
Kunywa maji kijana.
Kwa sababu kinachopoatiwa nacho kinakuwa cha hovyo.
Niko sahihi..kwa mfano huu uzi wako unakasoro za matumizi ya maneno ya kiswahili..HAPANA