Kwanini watanzania wana tabia ya kukomenti kwa maneno ya ovyo kwenye mitandao ya kijamii?

Acha uongo wew.....[emoji23][emoji23][emoji23]

Andiko lako lmeishia kijinga sn halna ukwel wwte
 
Angalia jinsi waafrica mashariki wenzetu walivyotuacha mbali kwenye uelewa hapo ndiyo utajua kuwa hii nchi kuna laana kubwa Kwa watu wake angalia jinsi maisha ya DAR watu wanavyoishi utapata jibu
Mkuu kuna uzi nilichangia dogo mmoja kanianzia matusi mwanzo mwisho kisa kumjadili Pope na ruhusa ile
Sasa njoo kwenye mitandao mingine angalia watu wanavyojibizana kwa hoja
Huko sass unakuta hoja inaongelea mpira mada itahamishwa na kuwa matusi
Tatizo ni maadili na kutokujua maana ya mitandao
Mtu anashindwa kuchangia anaamua kuhamisha mada
Kuna siku nilimwambia dogo mmoja kama lugha inapanda aende Tapatalk kuna hobbies za kila aina mpaka kuna forums zingine ni kwa ajili ya group la wenye private aircraft, sasa humo naona angewaita wote waongo sijui

Umaskini pia mkuu, hata Dar ni kijiji kikubwa tu ukilinganisha na majiji duniani
Yaani kama nawaita vile 😄
 
Kuna mtandao huwa nasoma unaitwa QUORA DIGEST huu mtandao wenzetu wanasaidiana Sana kupeana elimu Kwa maswali yanayoulizwa yaani kifupi yale maswali ingekuwa kwa hapa kwetu majibu yake ingekuwa matusi,kashfa na kejeli za kila namna...

Bado kuna shida Sana ya kuwa na ustaarabu kwenye Jamii yetu
 
Mi huwa nasikitika zaidi napoona wachangiaji wanamtukana mtu kutokana na maumbile yake yalivyo utazan huyo mtu alitaka kuwa hvyo
 
Well said
 
Nilikomenti vibaya sana kwenye page ya mdada 1 pale clouds media wakati huo nipo ofisi flani so lilikuja hadi ofisini kwangu

Ndo ikawa mwanzo na mwisho mm kukomenti ujinga
 
Naujua mkuu na ninausoma pia
Kuna mambo mengi sana na mijadala ya kila aina
Sisi sio utoto maana hata majitu makubwa unaona yanatukana yakihojiwa kitu
Hukumbuki mzee makamba alivyotaka kumzaba yule journalist mpaka nikasahangaa
Ustaarabu na kujibu hoja kwetu unaanza mbali sana na watoto na vijana wanaiga
Ila anaetukana unampoza tu na kumwambia umepata nini hapo kwa matusi likes ngapi
 
Tabia ya kujiona wao malaika, akikosea mtu full kumkosoa as if wao hawakoseagi,
Halafu kinachofanya mim nisiwaelewe ni matusi makubwa makubwa wanayoyatoa
Inaonekana wana hasira Sana.
 
Angalia jinsi waafrica mashariki wenzetu walivyotuacha mbali kwenye uelewa hapo ndiyo utajua kuwa hii nchi kuna laana kubwa Kwa watu wake angalia jinsi maisha ya DAR watu wanavyoishi utapata jibu
Uko sahihi. Tanzania tuna tatizo la elimu. Nadhani pia tulifanya makosa makubwa kuamua kutupa kiingereza na kutumia kiswahili. Kiswahili ni lugha ambayo haijitoshelezi hivyo watanzania wengi inakuwa vigumu kupata knowledge mpya.
 
Hivi jamani nchi ambayo raia wake waliomaliza chuo kikuu asilimia 90 hawasomi vitabu vya kuongeza maarifa au hata novel tutategemea nini? Nakuapia kuna dada mmoja kapiga degree ya masters Mlimani lakini ukimpa gazeti la kiingereza akisoma haelewi. Vitu anavyoweza ni hizi hadithi za kiswahili za akina Shigongo.
 
Ni kweli....minakwepa kulinganisha na ulaya ....tulinganishe na Uganda, Rwanda Kenya. Tanzania ukiposti fursa unazodolewa mithili ya mwizi au wanasema ukiona wanaposti Kuna mtu keshapewa. Nakubaliana nawe umaskini, ulimbukeni unachangia pakubwa mno tatizo hili-afu tumelelewa kuamini Kuna mwenye jukumu kutupa au kututafunia Kila kitu kwiyo kutafuta maarifa sio jukumu letu
 
kwa sababu most ya watu wanaoomba ushauri wanaomba kwa mzaha au wanakuwa wanawapima watu.

toa mfano tukuonyeshe
 
Unachokichapisha kitaamua upate comments za aina gan
 
Sio wote
 
Mkuu huko Kuna tatizo kubwa sana na elimu ni ya kukariri
Hivi Mayor wa jiji kama London akasema kama foleni inakera London hamia kijijini (kwanza kwa elimu yake hawezi kabisa kusema hivyo badala yake kapunguza congestion kwa kutoza hela kwa kila anaeingia London £17.50 ( 50,000 ya madafu kila siku

Sasa kiongozi wetu
 
Ulimbukeni ndio tatizo....tunajikinga kifua dhidi ya kutolifahamu jambo Kwa kuwa wabishi, matusi, kejeli. Maneno tunayopenda mtu mzima ovyo, kubwa jinga...Yani tukishindwa hoja, tusi
 
Ulimbukeni ndio tatizo....tunajikinga kifua dhidi ya kutolifahamu jambo Kwa kuwa wabishi, matusi, kejeli. Maneno tunayopenda mtu mzima ovyo, kubwa jinga...Yani tukishindwa hoja, tusi
Yaani wangekuwa wanapata life ban hao wasiingie kabisa
 
Tabia ya kujiona wao malaika, akikosea mtu full kumkosoa as if wao hawakoseagi,
Halafu kinachofanya mim nisiwaelewe ni matusi makubwa makubwa wanayoyatoa
Naona leo wameamka na simon msuva.. wanatoa povu kama wao ndio wanaomlipa mshahara! Kisa eti kwakuwa alikataa kuchezea timu zao za kariakoo

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…