johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Watu wapo?Ili tuendelee tunahitaji;
i. Watu
ii. Ardhi
iii. Siasa safi
iv. Uongozi bora
Katika hivyo vitatu cha tatu ndio hasa kinachovutia wawekezaji
Kuuliza si ujinga bwashee?Maswali ambayo majibu unayo ni ujinga kuuliza.
Jibu kuu ni Sera mbovu za Chama cha mapinduzi ambazo zimefanya kudharaulika kwa taaluma na utaalamu hivyo kupelekea kila mtu akimbilie siasa kwa sababu ya kupata maslahi bora!!Hii haina afya kwa taifa kwamba wanataaluma wanazitelekeza sekta zao na kuhamia siasani.
Hivi siasani kuna nini cha ziada wanachopata?
Niishie hapo kwa kifupi.
Maendeleo hayana vyama!
Umenikumbusha Daktari Kigwangalla!Hili ni moja ya makosa makubwa sana ya awamu yetu hii ya tano. Kuthamini zaidi siasa kuliko taaluma hakika gharama zake tutazilipia. Hao wakifika huko siasani wanaanza kuwaambia vijana wajiajiri.
NINA HAMU YA KUJUA ILANI YA CCM KIMEWEKWA NINI SAFARI HII.
There are looking for easy moneyHii haina afya kwa taifa kwamba wanataaluma wanazitelekeza sekta zao na kuhamia siasani.
Hivi siasani kuna nini cha ziada wanachopata?
Niishie hapo kwa kifupi.
Maendeleo hayana vyama!
Kama ni kweli haujui, basi una shida kwenye ufahamu wako kutokana na Tanzania kuwa na matabaka makubwa zaidi.Hii haina afya kwa taifa kwamba wanataaluma wanazitelekeza sekta zao na kuhamia siasani.
Hivi siasani kuna nini cha ziada wanachopata?
Niishie hapo kwa kifupi.
Maendeleo hayana vyama!
Tumeguswa na uzalendo na kazi nzuri ya JPM, hivyo tumejitokeza kwa wingi kuunga mkono juhudi ili tukamsaidie.Hii haina afya kwa taifa kwamba wanataaluma wanazitelekeza sekta zao na kuhamia siasani.
Hivi siasani kuna nini cha ziada wanachopata?
Niishie hapo kwa kifupi.
Maendeleo hayana vyama!
Tumeguswa na uzalendo na kazi nzuri ya JPM, hivyo tumejitokeza kwa wingi kuunga mkono juhudi ili tukamsaidie.
Mimi sababu zangu nimezitaja hapa
P
Ajira hakuna ajira hakuna ajira hakuna miaka 5Hii haina afya kwa taifa kwamba wanataaluma wanazitelekeza sekta zao na kuhamia siasani.
Hivi siasani kuna nini cha ziada wanachopata?
Niishie hapo kwa kifupi.
Maendeleo hayana vyama!
Kweli kabisa, majibu yako wazi kabisa.Maswali ambayo majibu unayo ni ujinga kuuliza.
Ni kweli, lakini leo umeuliza swali la kijinga sana. Kwa level yako siyo kweli kwamba hujui wanataaluma wanafuata nini kwenye siasa!!!Kuuliza si ujinga bwashee?
Kama enzi za Nyerere!Dah...tufike mahali...siasa iwe kazi ya kujitolea [emoji2960]
Mtu kama Prof Lipumba unaweza kuniambia anafuata nini siasani?Ni kweli, lakini leo umeuliza swali la kijinga sana. Kwa level yako siyo kweli kwamba hujui wanataaluma wanafuata nini kwenye siasa!!!