Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 105
- 65
Xtrail ina tatizo gani, mbona unaongea vitu nusu nusu, tukufutie account Yako nnWeka picha au uzi ufutwe... Af sio Nissan hiyo tu kuna chuma kwajina linaitwa Xtrail yan ni habari nyingine kabisa
We Member komaa kufungua nyuzi ili ufike huku.... Afu uwe unafungua nyuzi iwe imekamilika huku sio facebook.Xtrail ina tatizo gani, mbona unaongea vitu nusu nusu, tukufutie account Yako nn
Nliuza yangu kwa 4M😂Habari zenu. Nataka kuulizq nimegundua kuwa watu wengine walifuata mkumbo wa kununua nissan Serena lakini siku za hivi karibuni zi.ekuwa hazinunuliwi na resale value yake imeshuka sana. Ndio imekuwa kawaida kusikia watu wakiuza Nissan Serena zao kwa bei chee mfano sh 5m nk.
Zimeshuka thamani kama brevis nk
Kwa anayejua ni kwanini Nissan Serena zimeshuka resale value yake?