Mtu Poa 2013
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 105
- 65
Habari zenu. Nataka kuulizq nimegundua kuwa watu wengine walifuata mkumbo wa kununua nissan Serena lakini siku za hivi karibuni zi.ekuwa hazinunuliwi na resale value yake imeshuka sana. Ndio imekuwa kawaida kusikia watu wakiuza Nissan Serena zao kwa bei chee mfano sh 5m nk.
Zimeshuka thamani kama brevis nk
Kwa anayejua ni kwanini Nissan Serena zimeshuka resale value yake?
Zimeshuka thamani kama brevis nk
Kwa anayejua ni kwanini Nissan Serena zimeshuka resale value yake?