ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Siku hizi Kuna tool ya kivivu na ya bure inaitwa AI, inakurahisishia vitu vingi ikiwemo kizungu. Umezuka mjadala mkubwa sana msanii au socialist mmoja bongo ambaye alikuwa mke wa Msemaji wa club moja ya Tanzania ambayo imejaa masupastaa au galacticos, aliyeandika bonge la broken unnecessarily.
Siku hizi wazungu wamekuja na kitu kinaitwa AI au artificial intelligence apps, yaani ukiandika broken inafanya correction then unaenda. Kupest kwenye comment baada ya muda unazoea unakuja unajua automatic.
Kuna app wanalipiwa nyingine bure, mfano nimejaribu app moja ya browser ni free online inafanya kazi ya Grammer correction ,nikapaste comment yangu kuwa 'I will eating yesterday " ikachakata ikaja na jibu kuwa Inapaswa kuwa " I was eating yesterday " Sasa basi tujiongeze tupunguze aibu.
Maofisi mengi ya serikali kwakuwa wanaoperate na documents na barua za kizungu na riport wanatumia tool hii kurahisisha maisha, japo wengi bado wapo shalom.
AI itasaidia wengi sana, hata serikali, kukijua kingereza, na mambo mengine mengi.
Hizi AI imefika wakati unaandika swali lolote gumu yenyewe Ina solve inakupa jibu