Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Mnemba ndio kitu gani? Nani anatunga majina kwa kubuni?
Artificial - Sanifu
Intelligence -Werevu
WerevuSanifu.
Sasa hii kusema akili mnembe sijui, ndio imetokea wapi sasa? [emoji848]
Artificial ni bandia. Hiyo sanifu sijui umeitoa wapi?
Sanifu ni standardized.
Swahili sanifu - standardized Swahili.
Au ulitaka Kiswahili sanifu - artificial Swahili kwa tafsiri yako?