Kwanini Watanzania Wengi walishabikia Uingereza?

Kwanini Watanzania Wengi walishabikia Uingereza?

Nimepata wakati mgumu sana hapa Tandika Mwembeyanga, hasa baada ya kujikuta ni mimi tu ndiye nilikuwa Shabiki wa Senegal, vijana wengi wameshabikia wazungu!

Unadhani ni kwanini hali hii?
colonial mindset...mwafrica hatajikomboa hata siku moja. Ingekuwa ni nchi ya kiafrica iliyotawaliwa na uingereza inacheza na ufaransa, waafrica katika nchi zinazozungumza kifaransa wangeishangilia ufaransa na si waafrica wenzao.
 
Mimi binafsi nilikuwa nawasupport Senegal (Sababu ya uAfrica wetu) ingawa toka moyoni nilikua najua fika kabisa Senegal hawawezi kutoboa mbele ya vijana wa King Charles licha ya wenzao Cameroon kuwafunga Brazil majuzi.

Nadhani tumeshuhudia kilichotokea.
Ninkwa vile Ile mechi kwa Brazil haikuwa na impact yote zaidi ya sifa tu
 
Wazungu wanaipenda chadema, hivyo ndiyo sababu wengi wameshabikia Uingereza. Unajua kwa nini watanzania wengi walifurahi Ubeleji (Belgium) kutolewa mapema?
Ukweli uko wazi.Watu ambao hawajitambui wanafanya mambo kwa mazoea hawawezi kuifunga uingereza.uingereza itafungwa na timu ama za Ulaya ama america kusini basi.
 
Wana uhusiano wa muda mrefu kuanzia ukoloni mpaka premier league, Senegal mmmmhhh zaidi ya ngozi nyeusi hata ukiwauliza waitafute kwenye ramani wengi hawajui
Hatuna hata ubalozi wa Senegal nchini, ila ubalozi wa Uingereza upo, hakuna diaspora ya watanzania Senegal, ila Uingereza wapo
 
Vipi kuhusu Morocco aliyefunga Ubelgiji na Canada?
Morocco ametufanya sisi Wazalendo tufurahi kwa vile analiwafunga watu ambao wanasapoti wabaya wetu katika madini:-
1. Canada kumbuka ndiyo nchi mama ya Kampuni ya Barrick Gold Mine ambayo imekuwa ikitunyonya na tulizuia makinikia ila baada ya yule jamaa kufariki hawajamalizia kishika uchumba chetu
2. Ubelgiji ni nchi ambayo inamhifadhi dhalimu aliyekuwa anawapigia chapuo hao Barick na kututisha ati tutashitakiwa bla bla bla cc Erythrocyte
 
Mimi binafsi nilikuwa nawasupport Senegal (Sababu ya uAfrica wetu) ingawa toka moyoni nilikua najua fika kabisa Senegal hawawezi kutoboa mbele ya vijana wa King Charles licha ya wenzao Cameroon kuwafunga Brazil majuzi.

Nadhani tumeshuhudia kilichotokea.
Anaenda kufa kwa mfaransa
 
Nimepata wakati mgumu sana hapa Tandika Mwembeyanga, hasa baada ya kujikuta ni mimi tu ndiye nilikuwa Shabiki wa Senegal, vijana wengi wameshabikia wazungu!

Unadhani ni kwanini hali hii?
Uingereza walikuwa wakoloni wenye wema na sisi kuliko ccm. Lazima tuwashabikie kama shukrani.
 
Back
Top Bottom