umelegea sana umeangalia review ya jana umepigwa ngumi Moja tu chini😂Ah ah ah hayaa nitaongeza juhudi kwenye mazoezi
Kweli kabsa na uzuri anaeka wazi kabisa afanyi kazi ya ng’ombe mshahara kukuMapromoter wa Bongo wanapenda vya bure na kuwanyonya watu faida iingie 50M anayepigana wampe 1M halafu 49M wanaweka mfukoni.
Kitu ambacho Mwakinyo hajakikubali ndo maana wanapandikiza chuki mwana aonekane namna gani vipi.
Ephen jitahidi uandike kikike kikeMapromoter wa Bongo wanapenda vya bure na kuwanyonya watu faida iingie 50M anayepigana wampe 1M halafu 49M wanaweka mfukoni.
Kitu ambacho Mwakinyo hajakikubali ndo maana wanapandikiza chuki mwana aonekane namna gani vipi.
Wanakosea sanaWatu wanao furahia matatizo ya wenzao au kufurahia kwa kuona mwenzao ameshindwa kufanikiwa jambo fulani,
Wana tatizo linaloitwa Schadenfreude,
People under stress or experiencing personal problems often feel this way to temporarily boost their own self-esteem,make their own burdens feel lighter by comparison or feel a sense of relief.
Hata JF ukileta uzi wa mafanikio yako utaambiwa,Hata mitaani ukiinuka kiuchumi watu wanachukia
Hatari , watu wanataka kukuona unatubu tuHata JF ukileta uzi wa mafanikio yako utaambiwa,
''Toka sebuleni kwa shemeji yako''
''Tafuta hela''
''Amka utajikojolea''
Ila ukileta uzi kua umepigika na maisha,kila mtu atakufariji na kukuombea.