Kwanini Watanzania wengi wanataka IGP Sirro aondolewe? Utendaji wake haufai?

CHADEMA wrote ndio wamemchukia ghafla IGP Sirro kisa kamkamata mfalme wao na sio wa Tanzania wote
 
Uongo wala hamchoki. Huyo sirro amewamudu kisawasawa ndio maana chadema hamumtaki. Wajinga tu.
 
Yaani Geshi la Police litende haki! Huu ni utani kwa kweli
 
Sirro amewaweka CDM kona kali, upumbavu wao wanaogopa kufanya kwa sababu yake, pia Mbowe kesi yake inategemea ushahidi wa Sirro na vijana wake, mnaogopa ushahidi wa Sirro?
Kuna watu ni wapumbavu ila hawajijui. Mfano ni wew
 
Amelifanya Jeshi kuwa Kituo cha Mateso kwa Wananchi Watu wanateswa wanasingiziwa kesi wanalazimishwa kukiri Makosa Wayatakayo Polisi Vituo vya Polisi Watu wamejaa hawapelekwi Mahakamani
 
Bila support ya Simoni Siro na askari wake, Ccm kingekuwa chama kikuu cha upinzani
 
Mtanzania yeyote hasa aliye ajiriwa na serekali anawza kubemendwa na serekali ya ccm, kusalimika na hilo itategemea na uimara na msimamo binafsi, mfano ni professor Assad. Siro ni dhaifu kama wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…