RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,509
- 3,313
Hivi hizi kazi za watendaji wa vijiji na kata kwanini wamepewa kazi ya kuajiri wakati wanashindwa kufuata taratibu nzuri za kuajiri? Maana nimeshangaa sana kuwaita watu kufanya interview za kwanza kwenye halmashauri mbalimbali nchini na interview zenyewe zinafanywa kwa siku 1 Kisha mitihani zinasahishwa usiku na kesho yake oral.
Kwa mfano, halmashauri ya wilaya ya Bumbuli watu wameitwa kufanya interview ya kuandika tar 29/09/2024 na Kisha oral interview tarehe 30/09/2024 kweli interview kutoka written hadi oral inafanyikaje ndani ya siku 2, wanasahihishaje papers zote ndani ya usiku 1 na kusahihisha kwa usahihi kabisa au magumashi tu, Utumishi washakuwa jipu jingine Tena.