mazingira mtoto anayo lelewa yanachangia sio kwa mtoto wa kiume peke yake ata mtoto wa kike
Huwezi mfungia mtoto ndani muda wote ukategemea ata jifunza kuongea . Mtoto hupenda kujifunza toka kwa watoto wenzake jinsi wanavo ishi na jamii pamoja na familia kw ujumla.
mfano: Angalia mtoto anaye lelewa mazingira ya kule kunako itwa uswahirini
Hata mimi nimeliona kwa mwanangu alikuwa na miaka 4 ila bado kuongea ilikuwa shida na kucheza alikuwa anacheza sana nje na watoto wenzake but kajua kuongea vizuri alipofika 6