Kwanini watoto wa kiume huchelewa kuongea?!

Kwanini watoto wa kiume huchelewa kuongea?!

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Unakuta mtoto wa kiume ana miaka 4 kwenda 5. Bado hawezi kuongea kwa kuunganisha maneno ama anaongea neno moja tu, tofauti na wa kike.

Tatizo ni nini WATAALAM?!
 
KE wanauwezo wa kukariri vitu haraka kuliko ME,,, so bongo zao ziko smart....
 
mazingira mtoto anayo lelewa yanachangia sio kwa mtoto wa kiume peke yake ata mtoto wa kike

Huwezi mfungia mtoto ndani muda wote ukategemea ata jifunza kuongea . Mtoto hupenda kujifunza toka kwa watoto wenzake jinsi wanavo ishi na jamii pamoja na familia kw ujumla.
mfano: Angalia mtoto anaye lelewa mazingira ya kule kunako itwa uswahirini
 
Hata mimi nimeliona kwa mwanangu alikuwa na miaka 4 ila bado kuongea ilikuwa shida na kucheza alikuwa anacheza sana nje na watoto wenzake but kajua kuongea vizuri alipofika 6
 
Back
Top Bottom