Hahaa ... hii karma kweli sio mchezoWanakula karma aliyotengeneza baba yao.
Mzee mchonga Alifanya dhambi gani tena " sijuzi juzi Dini yenu umetoka kumtangaza kuwa ni mwenye Heri !!Wanakula karma aliyotengeneza baba yao.
Hahaah alikuwa anaibusu sana ile pete! Nawao wamemlipa kwa kumuweka kwenye kumbukumbu zao.Mzee mchonga Alifanya dhambi gani tena " sijuzi juzi Dini yenu umetoka kumtangaza kuwa ni mwenye Heri !!
Na Makongoro ni mwenyekiti wa chama wa mkoa na alishawahi kutaka kugombea urais.Ukisikia kingereza akiongea kimenyooka bila mawaaMtoa mada kwa taarifa yako Anna,Pauleta ni wasomi wazuri tu na alishakuwa mhadhiri.Kaka yao mmoja Andrew alikuwa rubani wa ndege za jeshi.Kumbuka Makongoro ameshawahi kuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia NCCR
-mageuzi.Hali halisi ni kwamba baba yao aliwalea katika maadili ya ujamaa na kutojikweza.Ushauri wangu pambana na hali yako usichokonoe ya watu
Andrew huyu anayeandika vitu visivyojulikana hapa jukwaani?Mtoa mada kwa taarifa yako Anna,Pauleta ni wasomi wazuri tu na alishakuwa mhadhiri.Kaka yao mmoja Andrew alikuwa rubani wa ndege za jeshi.Kumbuka Makongoro ameshawahi kuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia NCCR
-mageuzi.Hali halisi ni kwamba baba yao aliwalea katika maadili ya ujamaa na kutojikweza.Ushauri wangu pambana na hali yako usichokonoe ya watu
genetic reasons...Wakuu naombeni mnijuze, licha ya kusoma sana na baba yao kuwa mpigania uhuru wa Taifa hili, kwanini watoto wa mzee mchonga wapo wapo tu, hawana nyadhifa kubwa, hawana mbele wala nyuma? Hali ni tofauti kwa watoto wa Mzee ruksa, Mzee Karume, JK na wengineo kwanini?
Wa Mkapa wana zipiWakuu naombeni mnijuze, licha ya kusoma sana na baba yao kuwa mpigania uhuru wa Taifa hili, kwanini watoto wa mzee mchonga wapo wapo tu, hawana nyadhifa kubwa, hawana mbele wala nyuma? Hali ni tofauti kwa watoto wa Mzee ruksa, Mzee Karume, JK na wengineo kwanini?