Kwanini watoto wadogo wa kiume mkojo wao una presha kubwa

KIRANGWA

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
207
Reaction score
46
Nimekuwa nikijiuliza kwanini watoto wadogo wa kiume wanaweza rusha mkojo (wakati wa kukojoa) umbalimrefu hadi mita nne (4) wakati watu wakubwa (wanaume) hawawezi?

Tena wengine asipo panua au sambaza miguu kuna hatari ya kujikojolea! Ni kitu gani kina sababisha mkojo wa mtoto mdogo uwe na speed kali (presha kubwa) wakati mtu mkubwa wakati wa kukojoa hamna speed kali au presha kubwa? Nisaidieni wataalamu wa sayansi.
 
SASA HIVI TUKO ZANZIBAR KWANZA.

Wakati mkifuatilia mapinduzi ya zanziba polisi wa arusha sana sana wa kituo cha usa fuatilieni jambazi lilopigwa risasi na polisi mpakani maeneo ya holili likatoroka liko arusha hospitali ya sharak linatibiwa kwa usiri mkubwa sana kwani amegawa hela kwa daktari na manerse(sisters) ili wasipeleke repot polis (hospitali iko 1km kutokea arusha mjini kabla ujafika makumira university)
 
pressure inaongezeka pale eneo (area) linapopungua.

pressure =force/Area. Kama hukukimbia hesabu formula ya pressure inajieleza yenyewe!
Urethra (njia ya mkojo) ya mtoto mdogo ni ndogo ukilinganisha na ile ya mtu mzima,
 

Chezea JF weye huyo tayari
 
The smaler the area the higher the pressure.
Mi zamani nilikua nauwezo wa kurusha juu ya bati, na tulikua tunashindana.
 

Duh.. Mkuu hii nayo ni SIasa? Au jukwaa la Afya limefungwa?
 
Nimewahi kuona mwanamke wa kimasai mtu mzima kasimama wima huku anakojoa na mkojo ulikuwa unatoka "perpendicularly" na mwili wake(Like a continuous chain of projectiles at zero degrees angle of departure). Na alikuwa anaurusha takriban mita 13 mbele.

Jukwaa la siasa hili
 
Reactions: SMU

hahahahahahaha..
naamini unatania
 
Pressure=Force/Area. The smaller the area the higher the pressure!
 
Jaman natafuta juice ya sungwi ntaipata wapi????!!!!¡!!!!!!!!!!!¡!!!!!!!!
 
Ndg wana jm angalieni posti hii nimeiweka saa ngapi! Muda ulikuwa wa refreshment! Naona watu mmechoka na habari za akina zzk na El! Nawashukuru wote kwa mawazo na changamoto ambazo nimepata!
Hapo nimeamini kweli watu mpo makini na mpo hewani kweli.
 
kweli hii sasa siasa......mita 13! Yaani katia urefu huo ukipanga vitanda vya futi 6 vinakaa vitanda sita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…