Nimekuwa nikijiuliza kwanini watoto wadogo wa kiume wanaweza rusha mkojo (wakati wa kukojoa) umbalimrefu hadi mita nne (4) wakati watu wakubwa (wanaume) hawawezi?
Tena wengine asipo panua au sambaza miguu kuna hatari ya kujikojolea! Ni kitu gani kina sababisha mkojo wa mtoto mdogo uwe na speed kali (presha kubwa) wakati mtu mkubwa wakati wa kukojoa hamna speed kali au presha kubwa? Nisaidieni wataalamu wa sayansi.