Aiseee apo ukute na parachichiKiporo cha wali na maharage cha baridi na chai ya moto. Sijui hii kitu nitaacha lini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhy deni la taifa ni lakunyampaMi naona hamko serious nyie hivi mnaijua wali sato au sangara na mchuzi mzito fulavi..!!
Nyie mnaopenda maharage ndo vibosile wa kujambaa na sio kunyampa[emoji28]
Kujamba ni ile puuuu! Yani umekosa ustahimilivu[emoji23][emoji28] Kunyampa inakuwa ni himilivu na stahimilivu hakina harufu ndo kina sie Wala sato... Sasa kuna wale cha yusufu hao ndo usiempenda kaja au kikulacho ki nguoni mwako [emoji23][emoji28]
kumbe wewe ni ke.Nikipika wali na mboga zingine lazima watoto wale mara 3 ndio kiishe.
Lakini nikipika wali maharage duh yaani haukuti hata ukoko
Hahahahah acha namie nikaagize ubweche ndondo kwa mama Muuza.MKUU CHAKULA HICHO NI UGONJWA WA TAIFA MI HAPA NIMETOKA KULA KITU CHA ARAGE NAZI KWA UBWABWA
Hahahahah acha namie nikaagize ubweche ndondo kwa mama Muuza.