Kwanini watoto wengi wanapenda wali-maharage?

Kwanini watoto wengi wanapenda wali-maharage?

Karibu😋
20200505_123717.jpg
 
Mi naona hamko serious nyie hivi mnaijua wali sato au sangara na mchuzi mzito fulavi..!!
Nyie mnaopenda maharage ndo vibosile wa kujambaa na sio kunyampa[emoji28]
Kujamba ni ile puuuu! Yani umekosa ustahimilivu[emoji23][emoji28] Kunyampa inakuwa ni himilivu na stahimilivu hakina harufu ndo kina sie Wala sato... Sasa kuna wale cha yusufu hao ndo usiempenda kaja au kikulacho ki nguoni mwako [emoji23][emoji28]
Kwhy deni la taifa ni lakunyampa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hivi ubwabwa na njegere mbichi mnaujuaa??.
ila ndond na mpunga habari nyngne yaan tang utot ukitaka nioge bila shurut upikwe ubwbwa na mandondo..
 
Back
Top Bottom