Kwanini watu duniani wamewekeza zaidi ya $3.51 trillion?

Joined
Oct 8, 2018
Posts
34
Reaction score
25
Ni tufanye hawa wote hawana akili kuwekeza hapa. Je, unashindwa kujiuliza kwanini watoe pesa huko duniani $3.51 Trillion kwa kuwekeza sehemu ambapo hapaeleweki??🤔

Ndugu yangu nikupe siri kila unapoona kuna mafanikio basi tambua kuna siri imejificha hivyo tamani kujua siri hiyo ili na wewe uweze kuwa sehemu ya mafanikio hayo.

Umasikini ni kitu kibaya sana kwenye maisha nafikiri 98% ya watu tulioko hapa tunatambua maana ya Umasikini
Umasikini Unazalilisha
Umasikini ni fedhea
Umasikini Unakosesha furaha
Umasikini unakufanya kuwa mtumwa
Umasikini unakufanya ufe bila hatia
Umasikini unakosesha watu haki
Umasikini unakufanya ukose dhamani kwenye Dunia

Yaani kila lugha mbaya na kejeli zinazaliwa na Umasikini jitahidi kukataa hali hiyo kwa nguvu zako zote kuwa sababu ya kukomboa jamii yako na Umasikini watakuja kukushukuru kwa hatua hii muhimu uliyoiamua leo.

Nasisitiza wekeza maarifa kwenye Teknolojia ya Blockchain utakuja kunishukuru baadae.
#NFTs #BSTcoin #ELScoin #Share

By Augustine Soka

Screenshot_20250106-142248.png
 
View attachment 3194368
Watu wote hao hawana akili mkuu,ndio maana wenye akili tunanunua pesa za karatasi zinazoweza kuzalishwa bila idadi,kumilikiwa na watu wachache na kuzalishwa pesa feki bila kujali uwepo wa bidhaa kwenye soko
Yes hao hawana akili kabisa na hayo madude ni utapeli
 
Sio kigezo cha kusema kwamba haiwez kuwa na utapeli.. sisemi kuwa Bitcoin ni scam ila najaribu ku argu na sababu zako kwa kutumia hiyo figure iliowekezwa kujustfy kuwa its a risk free and it can not be a scam.. nenda Google tafuta scandal ya FTX cyrpto uone uwekezaji ulikuwa USD bilions ngapi.. FTX ilishakuwa hadi endorsed na US presidaa wakat huo Obama, waka sponsor mambo kibao hadi mchezo pendwa wa marekani "American Footbal" wakatoa matangazo kila mhi mkubwa duniani.. jamaa wali rub shoulders na tycoons wa dunia taabi ile 1% ya dunia pamoja Influencial people akafanya interviwe hadi na BBC..

Mwisho wa siku yuko jela sasa hivi na watu wamepoteza pesa zao kwa kesi ya kumis use funds

Tatizo langu na Crypto ni crypto kugeuka kuwa kama vile "Digital gem" yaan unaambiwa nunua usiuze ukae nayo hata 20 years kusubiri iendelee kupanda uwe trilionea.. sawa sijakataa tuseme sawa

Je kipi kinachoi backup Bitcoin na kuipa hiyo thaman nje ya " demand" maana demand ndio inayofanya bei ipande

Je vip some where down the road kabla hiyo 20 years haijafika demand inaporomoka na value ikashuka maana digital currency swala la kuwa na thamani ya dola 1000 leo na kesho kuwa na thaman ya dola 10 sio issue

Ilivyoanza ilikuwa inapigiwa chapuo kuwa Crypto ndo ni mbadala wa Fiat money kwa sababu Fiat money haina backup ya kulinda thaman yake baada ya US ku abolish Gold standard ambao Gold ndio ilikuwa inatumika kama kilinda thaman cha Dollar sasa hivi ma bank ya serikali yana print tu pesa .. sasa walisema sababu bitcoin sio regulated itakuwa haina inflation

Pamoja na baadhi ya huduma zinakubali kulipwa kwa crypto ila sasa naona badala ya crypto kujitanua kuwa media of exchange inakuwa kama
Vile unanunua hisa kwamba ukinunua usiuze au kuitumia kununulia bidhaa kaa nazo zipande thaman then ufaidike.. sasa hapo si ni kama nimewekeza kwenye hisa tu

Anyway still naamini Crypto ndio future ila bado hawajapata njia nzuri ya kuweza ku defeat mfumo wa "Fiat money uliopo"
 
Tatizo letu tunapenda sana kukariri na sio kusoma na kuelewa haya mambo tungekuwa na ufahamu na hivi vitu vya Teknolojia tungekuwa mbali sana lakini tumishikilia negative mindset kuliko kitu kingine hatujui kiundani NFTs ni nn Metaverse na Cryptocurrency yenyewe tusipende kujibu vitu kwa mihemko tutakuja kupoteza fursa za kututoa kwenye umasikini hivi hivi...
 
Naomba
Watu wote hao hawana akili mkuu,ndio maana wenye akili tunanunua pesa za karatasi zinazoweza kuzalishwa bila idadi,kumilikiwa na watu wachache na kuzalishwa pesa feki bila kujali uwepo wa bidhaa kwenye soko
Yes hao hawana akili kabisa na hayo madude ni utapeli
Kujua unaielewa vipi Teknolojia ya Blockchain tuanzie hapo maana nisije nikawa napoteza muda wangu kwa mtu ambae hajui anachokizungumzia...
 
Back
Top Bottom