Wakuu wa MMU, Kumekuwa na dhana ya muda mrefu ndani ya jamii kutokuwa wazi kuhusuana na ukatili unaoendelea katika mahusiano ya kimapenzi. Wengi wao wanaona si jambo la kiungwana kueleza juu ya hali wanazopitia ndani ya mahusiano hasa masuala ya manyanyaso na vipigo vya mara kwa mara. Wengine wameenda mbali kuona ni suala la kitamaduni na linalohitaji uvumilivu.
Je, ni kwanini watu hawachukui hatua katika huo ukatili wa kimapenzi?
Karibuni tujadiliane wana MMU. [emoji120] [emoji120]
Je, ni kwanini watu hawachukui hatua katika huo ukatili wa kimapenzi?
Karibuni tujadiliane wana MMU. [emoji120] [emoji120]