Mapenzi, Mahusiano na UrafikiNaomba kirefu cha MMU?
Mkuu, tusaidiane jambo moja hivi, Kifungu cha 66 cha Sheria ya Ndoa ya 1971 kinaeleza wazi kuwa hakuna mwenye haki ya kumwadhibu mwenzi wake kwa vipigo au adhabu ya viboko bila kujali tamaduni au mila za eneo husika au asili ya wanandoa hao, Ni muhimu kufahamu kuwa vitendo vyovyote vya kuonesha ukatili au kumpiga mwenzi katika mahusiano ni kosa la kijinai. Na jinai ni makosa yanayoshtakiwa na Jamhuri dhidi ya mtuhumiwa na ukipatikana na hatia basi unaweza kufungwa jela. Hivyo ni vyema pande zote zikatambua kuwa vitendo vya kupiga mwengine au ukatili katika mahusiano ya kimapenzi ambayo ni rasmi ni makosa ambayo pande zote yaani mwathiriwa na mtendaji ukatili wanapaswa kufahamu.Ukitenda makosa ya mara kwa mara ni haki kupata vipigo pia vya mara kwa mara si ajabu hiyo.
timiza wajibu utendewe haki stahiki...nasapoti kipigo cha nguvu pale (mpigwa) asipotimiza wajibu wake.
hivi hii mods wanajua kweli?Mapenzi, Mahusiano na Urafiki
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣hivi hii mods wanajua kweli?
Mkuu kwanza tueleze endapo wewe ni wale 50\50 hili tujue jinsi ya kuongea vyema na wewe.Mkuu, tusaidiane jambo moja hivi, Kifungu cha 66 cha Sheria ya Ndoa ya 1971 kinaeleza wazi kuwa hakuna mwenye haki ya kumwadhibu mwenzi wake kwa vipigo au adhabu ya viboko bila kujali tamaduni au mila za eneo husika au asili ya wanandoa hao, Ni muhimu kufahamu kuwa vitendo vyovyote vya kuonesha ukatili au kumpiga mwenzi katika mahusiano ni kosa la kijinai. Na jinai ni makosa yanayoshtakiwa na Jamhuri dhidi ya mtuhumiwa na ukipatikana na hatia basi unaweza kufungwa jela. Hivyo ni vyema pande zote zikatambua kuwa vitendo vya kupiga mwengine au ukatili katika mahusiano ya kimapenzi ambayo ni rasmi ni makosa ambayo pande zote yaani mwathiriwa na mtendaji ukatili wanapaswa kufahamu.
😂😂😂😂😂😂Mkuu kwanza tueleze endapo wewe ni wale 50\50 hili tujue jinsi ya kuongea vyema na wewe.
Ukiwa na maana gani MkuuMkuu kwanza tueleze endapo wewe ni wale 50\50 hili tujue jinsi ya kuongea vyema na wewe.
Mkuu na wewe si miongoni mwa watu wakubwa kwenye uongozi wa jfhivi hii mods wanajua kweli?
Nikimaanisha wale wana-harakati wanaogombania usawa wa kijinsia kumuweka mwanamke sawa na mwanaume ktk nyanja zote ktk jamii.Ukiwa na maana gani Mkuu
Mkuu mm sio mwanaharakati ila najaribu kukumbushana, ujue kumpiga mwanamke sio kumfundisha jambo lolote, hata mimi kuna wakati uwaga namzibua mabao huyu mtasha wangu na huku hawa wanawake wanatetewa sana, ila nikimzibua akijua amenikosea wala haleti fyokofyoko zaidi ya yeye kuniambia Am sorry mr. MangiNikimaanisha wale wana-harakati wanaogombania usawa wa kijinsia kumuweka mwanamke sawa na mwanaume ktk nyanja zote ktk jamii.
Siungi mkono ukatili wa kijinsia ktk jamii hata kidogo...ila hawa 50/50 malengo yao sioni yakimsaidia mwanamke na mtoto wa kike sana zaidi ya kumuharibia.
hapana mkuu mimi sipo hata kidogoMkuu na wewe si miongoni mwa watu wakubwa kwenye uongozi wa jf
Sasa ndo ujue bila kuwapiga hawa watu kelbu au Kofi moja lazima wakudharauMkuu mm sio mwanaharakati ila najaribu kukumbushana, ujue kumpiga mwanamke sio kumfundisha jambo lolote, hata mimi kuna wakati uwaga namzibua mabao huyu mtasha wangu na huku hawa wanawake wanatetewa sana, ila nikimzibua akijua amenikosea wala haleti fyokofyoko zaidi ya yeye kuniambia Am sorry mr. Mangi
Mkuu mazingira ya mtu kudharauliwa na mwanamke au mwanaume yanatengenezwa na muhusika mwenyewe.Sasa ndo ujue bila kuwapiga hawa watu kelbu au Kofi moja lazima wakudharau