Hizo hizo elfu 3 uswahilini Wamba wanavunjana meno mkuu,yaani Dunia Ina mengiWe jamaa umenichekesha sana😅, hiyo labda misiba ya kishua na vp kuhusu misiba ya uswahilini?
Maana hiyo ndio huwa inavurugu sana.
Hilo swali hata Mimi sipati jibu!Habari za mchana wanajamii forums.?
Nisiwapotezee muda, niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna swali huwa ninajiuliza sana lakini bado sijawahi kupata jibu halisi, ninaomba mwenye uelewa wa hili swali anipe majibu.
Ni mara nyingi huwa tunaona ama kusikia matukio ya aina hii, watu kugombea maiti. Unakuta wengine wanataka marehemu azikwe kimila wengine wanataka azikwe kidini au wengine wanataka akazikwe kwao wengine wanataka azikwe alipofariki yani unakuta ni vurugu mwanzo mwisho.
Faida yake huwa ni nini.?
Mshana Jr
Rakims
Michango mfano aliyekufa ni ndugu wa kigogo mfano mbunge nk atataka msiba uwe kwake wabunge watoe mchango wa mamilioni afaidiFaida yake huwa ni nini sasa?
Duh! Dunia ina mengi sana.Michango mfano aliyekufa ni ndigu wa kigogo mfano mbunge atakomslia msiba uwe kwake wabunge watoe mchango wa mamilioni afaidi
Mara ingine ni kuogopa kudharaulika mfano mdogo wake Raisi au waziri tumbo moja.kafariki lofa wa kutupwa anayeishi maisha duni sana .Mtu anabeba huo.msiba ufanyike kwake kuficha siri asionekane huwa hajali ndugu nk
Wengine mirathi anayezika ndiye atasimamia mirathi
Wengine wachawi anachotaka ni yake maji ya kuoshea maiti ayachukue kwa mambo ya kishirikina
Kifupi ukiona mtu anagombea maiti zaidi ya mke mume,au wanawe jua kuna jambo
Mume,mke na watoto pekee ndio wenye maamuzi kama ni mtu hajawahi kuwa na mke au mume au watoto hapi wazazi wKe ndio hutakiwa kutoa maamuzi ila kama ana watoto wakubwa wao ndio hutakiwa kuzika
Sio vinginevyo
Asilimia kubwa misiba ya Kiswahili mtu akifa ni kuwinda pesa na mirathiPesa