Kwanini Watu 'Huru' wanaounga mkono mikakati ya Maendeleo ya Serikali huambiwa ni wana CCM au Wamenunuliwa au wanataka Uteuzi?

Kwanini Watu 'Huru' wanaounga mkono mikakati ya Maendeleo ya Serikali huambiwa ni wana CCM au Wamenunuliwa au wanataka Uteuzi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwahiyo tunataka Kuhalalisha kuwa kwa Tanzania ya sasa ili uonekane ni Msomi au una Akili au ni Mchambuzi na Mwanaharakati mzuri ni mpaka uwe ni Mpinga kila Mkakati na Mipango mbalimbali ya Kimaendeleo ya Serikali?

Wewe Mpuuzi Mmoja ( nakuhifadhi ) uliyekuja PM yangu na Kuniambia kuwa GENTAMYCINE nimenunuliwa una bahati sana leo nimeamka vyema na Roho Mtakatifu, ila ungenikuta hajanitembelea ningekupa Jibu ambalo nina uhakika lingeharibu kabisa Mood yako ya Siku nzima ya leo

GENTAMYCINE ni mwana CCM pia ni mwana CHADEMA na ni mwana CUF vile vile ni mwana ACT na kubwa zaidi ni Mtanzania Huru hivyo ukipatia nitakupongeza na ukikosea nitakukosoa ila katika Maisha yangu Msamiati wa Unafiki, Uwoga na Kujipendekeza kwa Mtu haupo na nipo tayari Kuchukiwa na Wapumbavu ( Fools ) Milioni 45 na Kukubalika na Werevu ( Intellectuals ) 100 tu.
 
Ungemwambia huko huko inbox kaka
Nimemjibu hapa ili kama kuna Wapuuzi Wenzake Wengine wenye nia hiyo wasipoteze muda Wao kwani wanaweza kukutana na Moto Mkali ambao hautowaacha salama Kihisia.
 
Hao ni wale walioshiwa hoja mkuu; bahati mbaya wamejaa sana humu jf. Mi naona ni wa kuwapotezea tu
 
Maendeleo ya kuuza bandari hayana tija, labda maendeleo ya kuwasaidia wakulima huko mashambani kuhusu mazao yao
 
Back
Top Bottom