Kwanini Watu ' Maarufu ' wakiandika na ' Kuzindua ' tu Vitabu vyao vya Maisha yao, muda mfupi tu huwa Wanakufa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kutokana na ' Uchunguzi ' wangu mdogo tu nilioufanya ndani na nje ya Tanzania nimegundua ya kwamba kumbe huku Kukimbilia kuandika Historia yako ya Maisha na kuyaweka katika Kitabu na ' Kukizindua ' kwa ' Mikogo ' yote huwa hakupokelewi vyema na ' Israeli Mtoa Roho ' ambapo huwa ' hakukawizi ' sana kuwepo hapa duniani. Na ukiona umezindua ' Hajakuchukua ' jua Wewe hukuwa na la maana sana katika Jamii yako husika na ameona hata ' akikuchukua ' kwenda Mbinguni hutokuwa na Faida pia huko.

Kutokana na Kuligundua hili na nikiwa bado ninayapenda Maisha yangu ' nimeahirisha ' rasmi nami Kuandika na kutaka Kukizindua Kitabu changu.
 
Hii ni kwasababu, wakibaki hai "watatukuzwa na kusifiwa of which Mungu ana wivu sana kama alivyosema hawezi kugawana utukufu wake na mwanadamu".

Wanapozindua wanatukuzwa sana, na hivyo muumba huwapumzisha kidogo.
 
Kutokana na ' Uchunguzi ' wangu mdogo tu nilioufanya ndani na nje ya Tanzania nimegundua ya kwamba kumbe huku Kukimbilia kuandika Historia yako ya Maisha na kuyaweka katika Kitabu na ' Kukizindua ' kwa ' Mikogo ' yote huwa hakupokelewi vyema na ' Israeli Mtoa Roho ' ambapo huwa ' hakukawizi ' sana kuwepo hapa duniani. Na ukiona umezindua ' Hajakuchukua ' jua Wewe hukuwa na la maana sana katika Jamii yako husika na ameona hata ' akikuchukua ' kwenda Mbinguni hutokuwa na Faida pia huko.

Kutokana na Kuligundua hili na nikiwa bado ninayapenda Maisha yangu ' nimeahirisha ' rasmi nami Kuandika na kutaka Kukizindua Kitabu changu.
Hebu na wewe andika tuone
 
The King of all Bongo social media jitu lishibalo mobimba Le Mutuz nadhani alishaandika na kuzindua kitabu kinachoelezea maisha yake zaidi ya miaka mitatu iliyopita. Mbona yupo tu anadunda?

Ukiona bado hajafa / hajafariki jua pamoja na Juhudi zake zote hizo basi jua hakuna cha maana alichofanya na hata akifa ataenda Kumboa Mungu.
 
Kutokana na ' Uchunguzi ' wangu mdogo tu nilioufanya ndani na nje ya Tanzania nimegundua ya kwamba kumbe huku Kukimbilia kuandika Historia yako ya Maisha na kuyaweka katika Kitabu na ' Kukizindua ' kwa ' Mikogo ' yote huwa hakupokelewi vyema na ' Israeli Mtoa Roho ' ambapo huwa ' hakukawizi ' sana kuwepo hapa duniani. Na ukiona umezindua ' Hajakuchukua ' jua Wewe hukuwa na la maana sana katika Jamii yako husika na ameona hata ' akikuchukua ' kwenda Mbinguni hutokuwa na Faida pia huko.

Kutokana na Kuligundua hili na nikiwa bado ninayapenda Maisha yangu ' nimeahirisha ' rasmi nami Kuandika na kutaka Kukizindua Kitabu changu.

Kwani wewe ni mtu maarufu??
 
Kama hivyo ndivyo, basi JK asiandike kitabu

Na kwa hali ilivyo kwa kila anayendika ' anaondoka ' tu sidhani kama huyu uliyemtaja hapa ' atathubutu ' na ni mwoga kweli kweli wa Kufariki pia.
 
haya kachukue buku 7

Wapumbavu kama Wewe sijui ni lini CORONA ' itawafyekeni ' rasmi ili ' mtoweke ' kabisa na mtuache Watu wenye ' Akili ' zetu tuitawale hii Dunia.
 
Kuandika kitabu kinacho husu maisha yako. Ni kwamba unaandika wosia

Kuna Watu ni ' Majuha ' kweli kweli chini ya hili Jua. Kwahiyo Wote waliotuandikia Vitabu vyao vya Maisha yao walikuwa wanatuandikia Wosia tu?
 
Ivi mfano unaandika kitabu hafu Kuna manzi ulimkula chochoroni au porini. Iyo stori nayo unaweza iweka katika stori ya maisha yako
 
Na kwa hali ilivyo kwa kila anayendika ' anaondoka ' tu sidhani kama huyu uliyemtaja hapa ' atathubutu ' na ni mwoga kweli kweli wa Kufariki pia.
Come with facts! Njoo na data na siyo hisia zako potofu. Toa orodha ya watu maarufu angalau kumi waliondika wakafa na mimi nitakuja na orodha watu maarufu elfu moja ambao waliandika na wako hai!
 
Back
Top Bottom