Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
"The King of All Bongo Social Media"Sasa yeye ana umashuhuli gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"The King of All Bongo Social Media"Sasa yeye ana umashuhuli gani?
Kama hivyo ndivyo, basi JK asiandike kitabu
Usiempenda kaja inaitwa hii 🤭The King of all Bongo social media jitu lishibalo Power Mwanakulya mobimba Le Mutuz nadhani alishaandika na kuzindua kitabu kinachoelezea maisha yake zaidi ya miaka mitatu iliyopita. Mbona yupo tu anadunda?
Mkuu, nadhani sababu kubwa inaweza kuwa kwamba wengi huandika na kuzindua vitabu vyao wakiwa tayari ni watu wazima umri umeenda sana.Hebu na wewe andika tuone
Hilo jina alijiita yeye, au umemua kumpachika tu mkuu?The King of all Bongo social media jitu lishibalo Power Mwanakulya mobimba Le Mutuz nadhani alishaandika na kuzindua kitabu kinachoelezea maisha yake zaidi ya miaka mitatu iliyopita. Mbona yupo tu anadunda?