The King of all Bongo social media jitu lishibalo Power Mwanakulya mobimba Le Mutuz nadhani alishaandika na kuzindua kitabu kinachoelezea maisha yake zaidi ya miaka mitatu iliyopita. Mbona yupo tu anadunda?
hawa viongozi wakubwa tayari wanakua wanajua hali zao kiafaya na mambo mengine
kwahiyo wanakuwa wanajua kabisa muda wao ni kama unakaribia kwisha hivyo wanatoa vitabu kama kutubu mambo yao
ni kama wanatoa wosia kwa njia nyingine