GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
watu wote wanasahaulika mkuu.... maana wanatakiwa waje wapya nao wapate nafasi .......ukisha ondoka na ukurasa wako umefungwa
Mkumbushe huyo kuwa ni asili yetu kusahauBinadamu kaumbwa kusahau, isingekua hivo sijui ingekuaje
Yesu sio mtu,Yesu bado ndio mtu maarufu zaidi
Hili la kusahaulika ni kwamba tumeumbiwa wanadamu.Unakuta Mtu akifa tu basi atapewa Sifa za kila aina na Wanadamu huku wengine wakilia kila aina ya Machozi, wakimshukuru Marehemu na hata kumfananisha na Malaika, wakimtungia Nyimbo mbalimbali, wakimuonyesha Upendo japo Mhusika ( Marehemu ) anakuwa katika Jeneza lake lakini ile Siku ambayo wakimzika tu basi hapo hapo huanza Kusahaulika na hata Kutokumbwa tena daima milele amina.
Rest In Peace sana Edward Moringe Sokoine
Rest In Peace mno Steven Kanumba
Rest In Peace pia nazikwa Jumatatu 4 March 2019
Nawasilisha.
Hili la kusahaulika ni kwamba tumeumbiwa wanadamu.
hebu fikiria tusingekuwa tunasahau tungeweza kuishi baada ya wapendwa wetu kutangulia mbele za haki?
Kusahaulishwa juu ya kifo kilichotokea na juu ya kifo chako ni fumbo la siri ambalo analijua muumba pekee.
Haha....kabisa mkuu....maana hata muheshimiwa mmoja hivi Leo anasema marehemu alikua rafiki yake mpaka anakosa yakusemaaKwahiyo unataka kuniambia pamoja na hizi ' Kufuru ' zote zinazofanyika kwa ' Nazikwa Kesho Jumatatu March 4 ' huku akipewa Sifa anazostahili na pengine hata asizostahili ( kama zipo ) akifukiwa tu ndiyo ' Kumbukumbu ' yake itaishia pale rasmi? Nimejifunza sana ' Unafiki ' wa Kutukuka wa Watanzania hasa kupitia Misiba hii mikubwa miwili ya Hayati Sokoine na Kanumba na nina uhakika hata huyu wa Kesho nae Watanzania tutaendeleza ' Unafiki ' wetu ule ule uliotukuka.