GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Unakuta Mtu akifa tu basi atapewa Sifa za kila aina na Wanadamu huku wengine wakilia kila aina ya Machozi, wakimshukuru Marehemu na hata kumfananisha na Malaika, wakimtungia Nyimbo mbalimbali, wakimuonyesha Upendo japo Mhusika ( Marehemu ) anakuwa katika Jeneza lake lakini ile Siku ambayo wakimzika tu basi hapo hapo huanza Kusahaulika na hata Kutokumbwa tena daima milele amina.
Rest In Peace sana Edward Moringe Sokoine
Rest In Peace mno Steven Kanumba
Rest In Peace pia nazikwa Jumatatu 4 March 2019
Nawasilisha.
Rest In Peace sana Edward Moringe Sokoine
Rest In Peace mno Steven Kanumba
Rest In Peace pia nazikwa Jumatatu 4 March 2019
Nawasilisha.