Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Duniani wanasiasa ni mchanganyiko wa makundi ya watu waliopo kwenye jamii, kukosekana kwa makundi haya nikukosekana kwa washauri wazuri ndani ya Bunge.
Bunge linapaswa liwe na wastaafu wa Jeshi la Wananchi hasa senior officials, senior Government official wa aina ya Mkuchika, wafanyabiashara wakubwa, watu wa sekta nyingine zote.
Watu awaendi kama waumini thabiti wa chama kilichowapa nafasi ya kugombea Bali waumini wa Taifa kwanza. Hawa kazi yao nikuzima hoja zisizo na maslahi kwa Taifa, nikutetea makundi yao nakufanikisha mijadala kwenda bila upotoshaji.
Sasa hivi ukiangalia aina ya wabunge tulionao umwoni mbunge ambaye unaweza sema amebeba malengo ya Taifa kabla ya malengo ya chama, wote wamebeba na wengi wamebebeshwa malengo ya chama kabla ya malengo ya Taifa.
Angalia huko Ulimwengu wa Kwanza namna generals wanavyozima mijadala, namna wanavyotoa expert opinion kwenye vyombo vya maamuzi, utagundua upo umuhimu wa watumishi wa Umma kuingia kwenye bunge kabla au baada yakustaafu.
Na ili ufanikiwe lazima ujiandae kwa kuuvaa uzalendo na kutokuwa mstari wa mbele kufanya propaganda za vyama. Utenganishe kati yako na watu wasio na utaalamu. Ukilazimika kufanya propaganda Basi ziwe propaganda za diplomasia ya kiuchumi