de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 2,044
- 4,558
- Thread starter
- #21
I appreciate your views.Chuki inatokana na scarcity mindset
Na hiyo scarcity mindset inatokana na. Ego
Ego ni ubinafsi na ubinafsi unaleta self identify
Mfano chuki inakuwa hivi unatamani kitu alichonacho MTU ukipate wewe na yeye asikipate
Sasa hii inatokana na scarcity mindset akili yako inakuwa haina utoshelevu .
So ukimuona MTU ana chuki unabidi kujua hilo ni tatizo la kisaikolojia tu ambalo linatokana na kuwa na Low emotional intelligence , na EGO.
Resentment (CHUKI) ni inferiority complex
So MTU mwenye chuki anabidi kufata huo mchakato
Kuondoa scarcity mindset na kuwa na Abundance mindset
Anabidi kuondoa EGO na kuhakikisha anaamini Good things is not for chosen ones but for everybody.
Tukianza na Ego, najua it's a false sense of self. Ambayo ina tokana na false and man made beliefs ambazo either umepewa na watu wengine or umejiwekea mwenyewe kwenye makuzi na vitu ulivyojifunza.
Na umesema "Ego ni ubinafsi na ubinafsi unaleta self identify" Do you think identity exists in the EGO? Kama ni ego inaambatana na scarcity mindset?
Je wanyama pia wana chuki?, hawana consciousness lakini pia in that sense hawana EGO! Simba dume lazima apigane na mwenzie upon first meeting! Hiyo chuki, or sijui tuiiteje unafikiri imetokana na scarcity mindset, huoni kama ni kitu natural.