Kwanini watu tuna chuki na hatutakiani mema? Je kunasuluhisho?

I appreciate your views.
Tukianza na Ego, najua it's a false sense of self. Ambayo ina tokana na false and man made beliefs ambazo either umepewa na watu wengine or umejiwekea mwenyewe kwenye makuzi na vitu ulivyojifunza.

Na umesema "Ego ni ubinafsi na ubinafsi unaleta self identify" Do you think identity exists in the EGO? Kama ni ego inaambatana na scarcity mindset?

Je wanyama pia wana chuki?, hawana consciousness lakini pia in that sense hawana EGO! Simba dume lazima apigane na mwenzie upon first meeting! Hiyo chuki, or sijui tuiiteje unafikiri imetokana na scarcity mindset, huoni kama ni kitu natural.
 


Kama haujanielewa unabidi kujua Una kitu kinaitwa stereo types and this is play of Ego
 
🀣🀣 sio complete human being. Naungana nawe katika hiliπŸ’―
 
Kama haujanielewa unabidi kujua Una kitu kinaitwa stereo types and this is play of Ego
No siko huko unapowazia na sina bias yoyote kwenye opinions zako nimekuuliza swali tu! Yawezekana nimetumia egoπŸ˜„ but try to help me on that...
 
Upande wangu,
Najitahidi kuepuka chuki, wivu, husda kuwafanyia wengine lakini mtu akinifanyia ni sawa na wala sijali

Tujitahidi watoto wetu wawe na hofu ya Mungu ili kuepuka wao kua na tabia hizi ambazo asili yaje ni Shetani
Sawasawa.
 
Ni ubinafsi ila binadamu ana weza kuwa na wema kwa wengne cha muhimu apo ni upendo wa kutokea ndani na sio ule wa kuambiwa makanisani na misikitini ambao ni upendo wa kinafki.
Asante kwa hoja nzuri
 
Nashukuru kwa maoni, ukuaji pia unachangia, kadri unavyokua ndo tunapata uelewa.
 
No siko huko unapowazia na sina bias yoyote kwenye opinions zako nimekuuliza swali tu! Yawezekana nimetumia egoπŸ˜„ but try to help me on that...
Naelewa Ila Mimi nimefanya nina Elimu kuhusu tabia za binadamu Psychoanalysis Ila uliposema wanyama Kama simba nimeshindwa kukuelewa .

That is way nimeona unahitaji kujua mambo yanayoendana na hisia zako na AKILI YAKO (STEREOTYPES)

So umetoa Uzi kuhusu binadamu then unaunganisha na wanyama hapo hapo.

Unaweza kuona tatizo lipo wapi.


Lakini Kama binadamu hauna 'Emotional intelligence '

Utakuwa MTU wa kusuguana Sana na WATU and you will stumble
 
Ondoa hiyo chuki.....stay positive
 
We are being human, we aren't angels bro! It's a human nature, don't over think about it
 
I respect that umesoma, na kama mtu nisiye na uzoefu ungetakiwa kunielewesha sio kukriticize this shows how insecure you are.

Yaani badala ya kunipa jibu unaonesha elimu yako ili iweje who cares? Umesoma kuna watu hawaja hudhuria darasani na wako intelligent kukuzidi 🀣

Nasikitika kukuambia you've less you know about the topic.
 
😁😁😁

Hamna nadhani the key point ni kujitahidi kuwa na emotional intelligence kuzielewa hisia zako na hisia za watu wengine .

EQ
 
😁😁😁

Hamna nadhani the key point ni kujitahidi kuwa na emotional intelligence kuzielewa hisia zako na hisia za watu wengine .

EQ
Hapo umejibu kidaktari zaid, ulitaka kuleta chuki tenaπŸ˜‰πŸ˜†

Emotional intelligence is keyπŸ’―
 
Hapo umejibu kidaktari zaid, ulitaka kuleta chuki tenaπŸ˜‰πŸ˜†


😁😁😁

Sema mkuu tukiwa na EQ kubwa maana uzuri EQ unaweza kuipata sio lazima iwe inborn unaweza kudevelop inasaidia kukufikisha sehemu yoyote nzuri na kuwa na mahusiano mazuri na WATU.

IQ and EQ , EQ ndo inaamua ufanikiwe so tuendelee kujifunza.

Kuna hatua MTU unaifikia unakuwa Enlightenment unakuwa hauioni chuki ndani yako .
 
Chuki ni matokeo ya kuwa na akili ndogo na daima haijengi bali hubomoa na siku zote hatufanani kimtazamo na ndipo huzuka malumbano. Malumbano ni kitu kizuri pale tu mnaolumbana mnalumbana kwa hoja na mnalenga kujenga.
 
Hakika mkuu,
Ni process ambayo inahitaji perseverance kubwa sana maana kuna mda utaona there's no meaning of life, hii imeshanikumba sanaπŸ˜†. Wanaita Ego death kama una experience nayo?

Na mind you hii haihitaji kwenda darasani, it's all about learning thyself through living the experiences. Enlightenment inafikiwq mara nyingi sana sema huwa inakua sio stable, so itachukua mda sana kupitia vikwazo mbalimbali kuifanya iwe stable. Anyways naona upo vizuri pia kongole kwako mkuu. Na exactly unahitaji kuondoa chuki. Ingawa ni ngumu bcoz we are human with flaws.
 
Naungana nawe kuhusu hilo wazungu kidogo wana unafuu, ila sisi maafrika 🀣🀣! Ni very ignorant embu anzisha uzi kuhusu dini uone!
Sio kidogo Mkuu, ni sana...Watu weusi wengi ni Washenzi sana, tazama hata Asians...Wahindi, Wachina na Wajapan wanavyofanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…