Hivi ni kwaninii mtu anajikuna kuna mechanism gani mwilini ama imechafuka inaitaji kukunwa ama .....
Na kuna kitu ama msemo sikuhizi mtu akikukasirisha anajibiwa unaitaji kukunwa eeh??yeye amejuaje mwenzie anataka kukunwa je muwasho una connectio gani na mtu wa pili mpaka amwambie unajisikia kukuunwa eenh???
mie huwa najiuliza HV,kwa mfano wale watu wasio na mikono au wale wahalifu wanaofungwa pingu wamejickia muwasho has a maeneo ya mgongo,je huwa wanajikuna vp?
mie huwa najiuliza HV,kwa mfano wale watu wasio na mikono au wale wahalifu wanaofungwa pingu wamejickia muwasho has a maeneo ya mgongo,je huwa wanajikuna vp?