Kwanini watu tunajikuna?

Kwanini watu tunajikuna?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nimeuliza kutaka kujua tu wapendwa.

Hivi ni kwaninii mtu anajikuna kuna mechanism gani mwilini ama imechafuka inaitaji kukunwa ama .....
Na kuna kitu ama msemo sikuhizi mtu akikukasirisha anajibiwa unaitaji kukunwa eeh??yeye amejuaje mwenzie anataka kukunwa je muwasho una connectio gani na mtu wa pili mpaka amwambie unajisikia kukuunwa eenh???

Ma Dk embu tusaidieni kidogo .....hayo tu
 
swali lilikuwa zuri, mipasho imeliondolea mantiki.
 
mie huwa najiuliza HV,kwa mfano wale watu wasio na mikono au wale wahalifu wanaofungwa pingu wamejickia muwasho has a maeneo ya mgongo,je huwa wanajikuna vp?
 
Nilianza kulisoma swali vizuri ...alipoanza maneno ya mipasho nikajua ni walewale...halina nguvu tena.
 
Back
Top Bottom